Dodoma Leo: Kwani CCM, UKAWA mmejipangaje?

Dodoma Leo: Kwani CCM, UKAWA mmejipangaje?

Wamesema hawataki hotuba? Rais atahutubia tuu, lakini utata waliosema ni wa Shein kuingia kama Rais wakati muda wake umekwisha na majibu kuhusu nini katiba inavyosema hayajajibiwa ipasavyo bali kihuni huni na AG kama vile bora liende.
Sasa ili kuheshimiana, wao nao wanao wajibu wakuonyesha kuwa Shein hastahili kuingia mle. Wataonyeshaje? Hilo mtalijua wakati ukifika.
Hivi huyo Shein kama angekuwa na malaria angeletwa hapo akiwa kitandani? Hivyo sio lazima aingie, kama mumeona kuna utata SII ASIJE TUU? Mbona mnalazimisha sana?
Eti wanategemea kuwatoa msobe msobe wakishangilia bila ukomo na Rais akishindwa kuhutubia? Hiyo misobe misobe hata wananchi wanaipenda kwani wanajua kuwa kumbe wawakilishi wao wakiamua kutetea kitu hawajikombi na wanasimamia wanalo amini. Ushahidi ni jinsi Mhe. Sugu alivyo komba kura na kuwa mbunge mwenye kura nyingi bungeni

Hakuna mwananchi anaefurahia upuuzi wanaoufanya watu waliowatuma kuwawakilisha(wabunge)

Pia kama mtu alikuwa haafiki matokeo kulikuwa na haja gani ya yeye kuingia bungeni na kula kiapo.

Unakula kiapo bungeni huku ukijua kuwa Rais wako sio halali hali kwamba ukijua kuwa yeye huyo ndie anaekuja kuhutubia na kulifungua bunge.

Kama walikuwa hawana mpango na kama walikuwa na uzalendo wa kweli kwa taifa na kama kweli sio wapo kimaslahi na ili kuonesha umma wa watanzania kuwa matokeo ya Rais yalikuwa batiri sioni haja ya wao kula kiapo.
 
Wewe unajua kweli ni nini Ukawa wanakipinga hasa?.Shein anafuata nini bungeni leo ili matokeo Zanzibar yamefutwa?,kama hujui anafuata nini,kakojoe ulale!
 
Wewe unajua kweli ni nini Ukawa wanakipinga hasa?.Shein anafuata nini bungeni leo ili matokeo Zanzibar yamefutwa?,kama hujui anafuata nini,kakojoe ulale!
Ni shidaa! Kuna watu wanajifanya watetezi wa Bunge wakati hawajui hasa ni nini kinachopingwa na Ukawa. Wangekuwa wanajua basi wasingeshangaa kwa nini serikali inakosa raha kuhusu jambo hilo na ina mashaka mno.
 
Jambo la busara na kubwa kuliko yote Shein asubiri nje. Pia kwa kuwa hakuna baraza la wawakilishi basi hata serikali hakuna zanzibar, na kwa kuwa serikali hakuna zanzibar hata rais anaongoza serikali gani?

Hakuna busara ya hivi shein atakuwepo maana hata sasa zanzb kuna serikali ambayo yeye ni rais na seif ni makamu, uliskia seif kajiuzulu lini???
 
Jambo la busara na kubwa kuliko yote Shein asubiri nje. Pia kwa kuwa hakuna baraza la wawakilishi basi hata serikali hakuna zanzibar, na kwa kuwa serikali hakuna zanzibar hata rais anaongoza serikali gani?

RAHA tupu! Sasa ni zamu ya Rais wa zanzibar kumpa mkono Waziri Mkuu mhe Majaliwa..... Dr Shein huyo..na SMILE lake kama kawa halafu jamaa wanafanana hair style zao.....
 
Jambo la msingi kabisa ni wabunge wote kujiuliza, nini faida na hasara ya ama zomeazomea au kutozomea hotuba ya rais. Wananchi wanataka kusikia zomeazomea au hotuba ya rais?
Mi kama mwananchi, naunga mkono swala LA kuwazomea tu
 
wapinzani wamejipambanua kama wao ni maadui wa serikali...ccm walijitahidi katika kipindi kilichopita kuwakaribisha kundini kwa moyo mkunjufu... Raisi kikwete....alitoa nafasi za ubunge kwa wanachama wa vyama vya upinzani....lakini angalia lugha na vijitabia vya hao watu waliopewa fursa hizo...wanaongoza kwa lugha za kejeli..... Wapinzani walipewa hadi uongozi kwenye kamati za bunge... Wapinzani walipewa nafasi ya kurekebisha katiba iliyopo..... Tumejifunza kutokana na makosa sasa tunatambua nia na lengo za wapinzani kuwa ni maadui na sisi tunasema .....this time ni vita ni vita!!!
wapinzani wan wivu wa kike kila kipindi kipya kikianza hupenda kususa,hata wakisusa tutawaalika kunywa chai ikulu,ila safari hii hawatakunywa chai bali maji na karanga
 
Hakuna mwananchi anaefurahia upuuzi wanaoufanya watu waliowatuma kuwawakilisha(wabunge)

Pia kama mtu alikuwa haafiki matokeo
kulikuwa na haja gani ya yeye kuingia bungeni na kula kiapo.

Unakula kiapo bungeni huku ukijua kuwa Rais wako sio halali hali kwamba ukijua kuwa yeye huyo ndie anaekuja kuhutubia na kulifungua bunge.

Kama walikuwa hawana mpango na kama walikuwa na uzalendo wa kweli kwa taifa na kama kweli sio wapo kimaslahi na ili kuonesha umma wa watanzania kuwa matokeo ya Rais yalikuwa batiri sioni haja ya wao kula kiapo.

Walichaguliwa na wananchi kwa haki ndyo maana walikubali kuapa, sio hao waliochaguliwa na wazee wachumia tumbo.....
 
Mie naona Dr shein ijipime mwenyewe kama anauhalali wa kudhuru bungeni wakati mda wake wa kukaa madarakani umekwishakukoma na mie nilifikilia Dr atakoma kuwa raisi tu endapo atashiriki kugombea kiti cha uraisi maana kuendelea kukalia kiti cha uraisi huku ukikitafta ni miongoni mwamakosa makubwa maana kiuhalisia mara tu mda wako wakuisha unapashwa kuachia nafasi kwa watu ambao wanaweza kuiongoza nchi ikiwa raisi bado hajapatikana nilitegemea Zanzibar itakuwa chini ya jaji mkuu au katibu mkuu kiongozi kwa mda wote pindi wakiwa wanatafta mwafuaka maana kuendelea kukalia kiti cha uraisi kwa Dr shein nikuonyesha jinsi gani asivyoheshimu kanuni na taratibu za nchi.

Humility siyo msamiati wa kabila la CCM.
 
Walichaguliwa na wananchi kwa haki ndyo maana walikubali kuapa, sio hao waliochaguliwa na wazee wachumia tumbo.....

Ndio nami pia sijakataa kuwa hawakuchaguliwa na wananchi kwa haki na ndio maana wako huko, je Dr Magufuli hakuchaguliwa na Wananchi?

Swali langu ni kuwa......
Unawezaje kumkataa Rais ambaye ndie anaekuja kufungua na kulihutubia bunge na wewe ukiwemo ndani, sasa unawawakilishaje hao wananchi wako?

Na wakati unakula kiapo ulikuwa unajua fika kuwa bunge haliwezi anza bila ya yeye kuja kulihitubia kisha ndio kuruhusu vikao kuendelea?
 
Back
Top Bottom