Sasa hivi ni FASHENI kwenda Dodoma bila kujali wewe ni nani.....
![]()
Sikonge hii kitu inakuja leta shida kubwa sana huko mbeleni! Hii ni mihemko inayoletwa na kimbunga cha pepo la matumaini ya kufikirika yakichagizwa na udhaifu uliopo sasaSasa hivi ni FASHENI kwenda Dodoma bila kujali wewe ni nani.....
![]()
![]()