Hizi Ajal Za Vyombo Vya Usafirisha Abiria Inaongeza Kwa Kasi
Shida ni Madereva Miundombinu Vyombo Venyew Havina Ubora Au Wasimamiz Na Mamlaka Husika Hazina Uwezo Wakusimamia Sheria Zilizopo
Hali Mbaya Sana Tunazid Kupoteza Ndugu Zetu Kwa Makosa Ambayo Tunaweza Kuyazuia Huku Wahusika Wakuzuia Hayo Makosa Wanakula Mishahara Minono Ila Kuwalinda Wameshindwa