Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,418
Uamuzi wa kuhamia Dodoma, ulianza 1973 na baadae kufutwa kimya kimya kutokana kuonekana wazi mji huo haufai kuwa mji mkuu wa Tanzania kutokana sababu nyingi ikiwamo kuwa mjii jangwa na usio kuwa na vivutio. Majuzi Rais alifufua wazo hilo katika mkutano wa siasa wa chama chake wakati akikabidhiwa uenyekiti.
Uamuzi ule ulifutwa kimya kimya kwa sababu ulikua uamuzi wa Mwalimu hivyo kufanya kila rais kukataa kutamka rasmi kuwa dodoma hakufai. Rais ameamua peke yake uamuzi huo bila kuangalia kuwa katika kipindi cha kimya kimya serikali imetumia fedha nyingi kujenga Dar es salamm. Wamejenga wizara karibu zote upya hapa Dar. Zanzibar nao kwa kuamini uamuzi ule umefutwa kimya kimya nao wamejenda ofisi yao iliopo Dar ambayo hutumiwa na viongozi wanapo kua Dar.
Uamuzi wa kwenda dodomakwa sasa utaigharimu Zanzibar, kwanza itabidi waweke bajeti nyengine ya kuwa na ofidi yao Dodoma na pili maofisa wa Zanzibar itabidi sasa kufata mazungumzo au majadiliano au issue zao dodoma kwa gharama kubwa zaidi. Kama walikua wanakuja Dar na kurudi Zanzibar jioni sasa itabidi posho iwe kubwa zaidi. Mfano wangeweza kuja Zanzibar kwa laki moja na kurudi sasa nila ya laki tano hawawezi kufika Dodoma. Hivyo Zanzbar wategemee gharama kupanda kutokana na uamuzi huu wa. Kichama zaidi.