Dodoma: Jina la Mbunge Halima Mdee, moja ya sababu kufutwa kwa hotuba nzima ya upinzani kuhusu Wizara ya Fedha na Mipango Bungeni

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezuia Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kusoma maoni yao kuhusu bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa madai imejaa makosa.

Ametoa zuio hilo bungeni leo Jumatatu Juni 3, 2019, Spika Ndugai amesema sababu mojawapo ni jina la mbunge wa Kawe (Chadema) Halima ambaye ametajwa kwenye kitabu cha hotuba hiyo ukurasa wa mbele.

Amesema hotuba nzima kuanzia ukurasa wa kwanza hadi mwisho imejaa maneno yasiyo faa wakati wanajua maandishi hayo yatadumu hata miaka 100 ijayo.

Msemaji wa upinzani wa Wizara ya Fedha Halima Mdee amesimamishwa na Bunge kuhudhuria mikutano mwili ya Bunge kuanzia huu unaoendelea wa 15 wa Bunge la Bajeti kwa kosa la kuunga mkono kauli ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kwamba Bunge ni dhaifu.

"Hapa tunatoka sisi lakini kuna vizazi vyetu na wajuu na vitukuu wetu watasoma vitabu hivi, haiwezekani mtu umesimamishwa halafu unashiriki kufanya kazi za Bunge," amesema Ndugai.

Hivi karibu Ndugai aliwaambia wapinzani bungeni kuwa hotuba zao zitaruhusiwa kusomwa isipokuwa aliwatahadharisha kuwa makini na uandishi usioleta mgongano.

Hotuba hiyo iliyozuiwa ilikuwa isomwe na Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde ambaye ni Naibu Waziri kivuli katika Wizara ya fedha na ndiye aliyesoma hotuba hizo kwa miaka miwili kutokana na Mdee kuwa nje kwa adhabu mbalimbali.

FB_IMG_1559554815291.jpeg
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae namba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
 
Mtu anahukumiwa bila hata kusikilizwa?

Ujinga huu upo ccm peke yake,wala haupo mahali pengine duniani
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
 
Bunge DHAIFU linahofia kusikia jina la Halima Mdee maana wakilisikia Wabunge wote DHAIFU wa maccm watakufa.

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezuia Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kusoma maoni yao kuhusu bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa madai imejaa makosa.

Ametoa zuio hilo bungeni leo Jumatatu Juni 3, 2019, Spika Ndugai amesema sababu mojawapo ni jina la mbunge wa Kawe (Chadema) Halima ambaye ametajwa kwenye kitabu cha hotuba hiyo ukurasa wa mbele.

Amesema hotuba nzima kuanzia ukurasa wa kwanza hadi mwisho imejaa maneno yasiyo faa wakati wanajua maandishi hayo yatadumu hata miaka 100 ijayo.

Msemaji wa upinzani wa Wizara ya Fedha Halima Mdee amesimamishwa na Bunge kuhudhuria mikutano mwili ya Bunge kuanzia huu unaoendelea wa 15 wa Bunge la Bajeti kwa kosa la kuunga mkono kauli ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kwamba Bunge ni dhaifu.

"Hapa tunatoka sisi lakini kuna vizazi vyetu na wajuu na vitukuu wetu watasoma vitabu hivi, haiwezekani mtu umesimamishwa halafu unashiriki kufanya kazi za Bunge," amesema Ndugai.

Hivi karibu Ndugai aliwaambia wapinzani bungeni kuwa hotuba zao zitaruhusiwa kusomwa isipokuwa aliwatahadharisha kuwa makini na uandishi usioleta mgongano.

Hotuba hiyo iliyozuiwa ilikuwa isomwe na Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde ambaye ni Naibu Waziri kivuli katika Wizara ya fedha na ndiye aliyesoma hotuba hizo kwa miaka miwili kutokana na Mdee kuwa nje kwa adhabu mbalimbali.

View attachment 1116087
 
Hotuba ya wizara ya fedha wapinzani waongelea kesi zilizopo mahakamani
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani

Hivi bado bunge linaendelea?
 
Haya yashasemwa sana jiwe anayapuuza. Badala yake anachota hela za umma wa watanzania na kuamua kununua ndege utadhani anafanya shopping ya mama janeth.

Manunuzi ya umma yana taratibu na mipango yake
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
Hotuba ni lazima ianze na jina la waziri husika pamoja na jina la wizara.
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
CCM wote akili zenu ni kama ******
 
Hivi kwanini kuna walevi tu wanaopendekeza uchaguzi tusifanyike 2020, je hakuna walevi wakupendekeza bunge kuvunjwa?
Kama kuna kitu ambacho Magufuli anaweza kukifanya awamu hii na kukumbukwa daima ni kulivunja na kulifutilia mbali mbunge mpaka atakapoingia rais mwingine.
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
Ulivyoongea utadhani umeisoma uone hayo majina yako wapi? 😂😂
Ungeenda shule za maana usingeingia mtego dhaifu uliotegwa na Dhaifu Ndugai
 
Chadema nao wanaudhi.hotuba ya Bajeti ya upinzani inatakiwa ijae mamba sio majina ya watu na porojo. Bajeti ilitakiwa ijikite kusema Sisi upinzani. Bajeti yetu ingekuwa hivi vyanzo vya mapato vingekuwa hivi kila kimoja kingeingiza shilingi kadhaa jumla ya mapato ingekuwa hii. Matumizi yangekuwa haya wakaweka break down na vipaumbele vya bajeti yetu vingekuwa hivi ambavyo vingegharimu kiasi cha shilingi hizi. Wao kazi yao ni. Kutoa bajeti mbadala ya upinzani sio porojo za halima mdee. Hongera spika kuikataa hiyo waliyoleta sio Bajeti ya upinzani
Hivi hatuwezi kuwa na bunge mbadala na spika mbadala au kuwa nabunge kivuli naspika kivuli naonah huyu kazi ananichosha nikisikia jinalake najiuliza wanangu ninakwenda kuwaachia nchi gani kwani huyunae kikwazo katika ukombozi
 
Back
Top Bottom