Dodoma: Jeshi la Polisi lamuita Cyprian Musiba kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa

Hilo jeshi la polisi linahitaji ukarabati mkubwa na ikibidi livunjiliwe mbali na kusukwa upya! Haiwezekani musiba take wengine kuuawa tena kwa kuandika na kupitisha press conference Kisha akaachwa tu lakini leo analalamika kwa Jambo la hisia tu eti aitwe kuliweka sawa! Hii sio sawa hata kidogo kwani ni double standards za wazi kabisa kwa jamii!

Mambo haya ya jeshi la polisi yanalichafua taifa kimataifa na hata kijamii hivyo likemewe kwa nguvu zote na wananchi wote wapenda amani na umoja!

Na kwanini muroto hatoi taarifa za uchunguzi wa shambulio la Lissu Kama anavyofanya kwa musiba? Hebu astaafu apishe wenye weledi wafanye kazi bila kupendelea!
 
Kama afande Muroto kamuita Musiba "kijana wao" nadhani jeshi la polisi wameshajua huyo jamaa anatumwa na nani kuropoka hovyo, ndio maana wameamua kumlinda ili watunze ajira zao.

Hakika hii nchi walikabidhiwa washamba 2015.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini asiende polisi badala ya kuita media yake na kuanza kutuhumu watu? Kesi za mauaji siku hizi zinapelekwa kwa waandishi wa habari badala ya polisi?

Ila pia hao waandishi wa habari wanaomsikiliza Musiba nao akili zao hazina akili.
 
Musiba anasoma kitu kilichotungwa ambacho ni vigumu kwake hata kusoma yalioandikwa anyway ametaja German, Barrick, Mwekezaji, Zitto, January ......uchaguzi 2020 uchaguzi na Uchaguzi, JE ULIWAHI KUPIGWA? pretend to be mzee Warioba & reply it at low tone - Haapaaana!
 
Duh...!

Karibia waliomjeruhi Tindu Lisu watajulikana!
 
Tuhuma kali.lakini kama anayoyasema yapo basi tayari watu wameumbuka vibaya mno na hasa Zitto.
 
Ameona sasa walio mtumia wamemtupa sasa anatafuta huruma
In God we Trust
 
RPC Muroto amesema wananchi wanatakiwa kutoa taarifa za tishio za uharifu kwenye vyombo vya dola sio kwenye mitandao.

 
Dah! Kweli JF ina wenyewe, huu uzi ulianzishwa tangu jana lakini ulimezwa kama nyangumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…