Dodoma: Jeshi la Polisi lamuita Cyprian Musiba kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa

Mmmmh hii ni sinema ya kihindi hebu tusubiri naona stealing anajifanya kama kauwawa vile😀😀😀
 
Ila kuna watu sijui wakoje,unatishia kumuua kichaa kweli badala ya kumtishia kumuua mtu ambaye ni mzima
 
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mwanaharakati huru Cyprian Musiba kwa Mahojiano zaidi dhidi ya Malalamiko yake na tuhuma za kusambaza habari za kutaka kuuliwa kwenye magazeti na baadhi ya wanasiasa bila kuripoti kwenye vyombo vya dola jambo ambalo ni kinyume na Sheria.
 
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mwanaharakati huru Cyprian Musiba kwa Mahojiano zaidi dhidi ya Malalamiko yake na tuhuma za kusambaza habari za kutaka kuuliwa kwenye magazeti na baadhi ya wanasiasa bila kuripoti kwenye vyombo vya dola jambo ambalo ni kinyume na Sheria.
Sawa!
 
wachukue malalamiko yake serious maana akiumia huyu mzalendo wakati alitoa taarifa mapema wananchi hatuwezi kuwaelewa,. maana hata Wangwe ilikuwa hivihivi
 
IMG-20191024-WA0004.jpg

,,,,,🙄
 
Sheria zingine za ajabu sana.
Kuna mambo yanaendeshwa kisiasa, sheria hii walitunga wabunge wanao jiita wawakilishi wa watu.
Mtu anatangaza anatafutwa kuuwawa na wenye dhamana ya kukulinda wanakukamata kwanini umetangaza na kufichua mpango ovu dhidi yako.

Najua kuna watu watashangilia badala ya kuilaani na kuomba ifutwe hii sheria, watashangilia sababu imemdhuru Musiba ila ikiwakuta wao au wanao wapenda utasikia kelele nyingi na malalamiko.
Jambo hili litatokea tena kwa mtu mwingine karibuni tusirudi kupiga kelele.
 
Jeshi la polisi linajidhalilisha! Kwanini halikumuhoji alipokua anatukana viongozi hadharani na kudai katumwa na kiongozi Mkuu kusema yale maneno? Hau huyo kiongozi kalituma jeshi hilo limuulize anaemtishia ili wadili nae kwa kumpyupyupyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom