Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Si mwanga wa tahadhari huo...kweli ukiidhi na milembe sehemu moja lazima muwe na umilembelembe
ww izo ni frash light ,huwa zinatoa mwanga wa namna iyo na zenyewe haziwaki kama moto bali kama moshi wa rangi mkali
Ni flash (emergency signal) light zinazokuwa kwenye gari, hutumika wakati wa dharura ili uonekane