Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

Naona anawapiga madongo Chadema. Hee hee. Essentially saying "I am The President, deal with it". Jk got his swagga back.
 
atakuwa naserikali ya wachapa kazi na waadilifu na watakaoweza kusimamia maendeleo na wale watakaoondoa urasimiu serikalini

My a** yaani hii hotuba yaani haina chochote zaidi kila saa kutaja tu Mheshimiwa Spika
 
Ni kama vile anasema CHADEMA hata kama watamtambua au kutomtambua yeye atabaki kuwa rais na habari ndo hivyo
wabunge wa CCM wanashangilia, anasema serikali ni pamoja na Maalim seif.
 
Eheee sijui ndo anamaliza sasa, maana hayo maneno aliyataja sometimes ago, naona katamka live kua anamaliza lakini naona anaanza kurudia yale yale nilipokua mwalimu mwnfnz wangu akirudiarudia naandika RPT au SEEN yaani nimeona lakini hamna kitu
 
msiwakatishe tamaaa watz, sote 1 1 na pamoja tutumie nguvu na maarifa kama ndugu na kufanya tz bora, maisha bora kwa kila mtz inawezekana, Timiza wajibu wako
 
This is not what i expected to hear from Mkwere!Hii hotuba nafikiri wamezima moto,coz hakuna concrete issues ambazo zimeongelewa kwa msisitizo zaidi ya nusu ya Ripoti kujaa mh spika mh spika.
Mbona hajazungumzia Rushwa kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita,Mbona hajaongelea udhaifu na mapungufu ya NEC kutaka kusababisha uvunjifu wa amani??Huwezi kuonglea kuifanya nchi itegemee viwanda na huku sera ya nchi ikiwa kilimo kwanza>Excuse,give me a break!Mbona hajaongelea matatizo ya kushuka kwa thamani ya shilingi na Amejiandaa vp kukabili hali hii??Life is gonna be hell i am sure!

Kama umeisikia hutuba? Kaongelea mambo yote hayo. Sana sana kwenye mfumuko wa bei.
 
MAISHA BORA KWA KILA FISADI YANAWEZEKANA..
MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU ENDELEA KUIBARIKI CHADEMA...........................:smile-big:
 
Hotuba imekwisha kwa kuomba ushirikiano toka kwa wabunge.
Mada spika anasema wamuunga mkono
 
Teeeeh nteeeee, TEEEH teeeh, teeeh afadhali kama maliza upupu wake
 
Ni kama vile anasema CHADEMA hata kama watamtambua au kutomtambua yeye atabaki kuwa rais na habari ndo hivyo
wabunge wa CCM wanashangilia, anasema serikali ni pamoja na Maalim seif.

Naona mipasho ilikuwa ni moja ya azma yake kwa kuwa kitendo cha Chadema kutoka nje ya bunge kitakuwa kimemuuma kiasi thou anajifanya kutokuonekana kama its an issue for him
 
Pinda nae kawa na mipasho kama mkwere, nadhani kuja kuishi dar basi kachukua hulka za kizaramo!!!
 
Pinda anamfagilia Jk kwa hotuba, na napiga kijembe hata CHDEMA wanaangalia kwenye runinga na ile kutoka ni geresha tu. ha1ha!ha1ha!..CCM yani wao kila kitu ni kupiga makofi
 
Back
Top Bottom