Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

Spika anampongeza JK kwa kuchaguliwa na Wananchi kwa kura nyingi sana....Je hajui waliopiga ni wachache compared na wale ambao hawakupiga Kura???? huo wingi wa kura anaousema ni Upi???
 
Good kwa CHADEMA kutoka....wezi wa kura wanaimba CCM...CCM.... But JK is puzzled.......read his face though anatabasamu.....He didnt want t....
 
Mh. Rais naona amepoteza kujiamini, ni kama anatetemeka afu anakunywa maji mara mara.
 
Rais Mwizi dawa yake ndiyo hiyo. CHADEMA wanaonyesha njia safi sana

BRAVO wapiganaji wetu walianza akina Mkwawa, Mirambo, sasa ni

wakaati wa mabadiliko BRAVO ...... ...... .



Lazima Chama Cha Majambazi waelewe kwamba hawatishiwi Nyau!
 
Back
Top Bottom