digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,911
- 14,414
umemaliza, now napita zangu.Shekhe Ponda Issa Ponda amesema Waisilamu wasihongwe Misikiti wakati Viongozi wao wakinyea debe na kuteswa ameyasema hayo Leo Tandahimba.
Inafikirisha ila ukweli utabaki kuwa ukweli.Shekhe Ponda Issa Ponda amesema Waisilamu wasihongwe Misikiti wakati Viongozi wao wakinyea debe na kuteswa ameyasema hayo Leo Tandahimba.
Wangeupaka rangi ya kijani si ungependeza zaidi sheikh?Msikiti mzuri sana
Twende na JPM mkuu,acha kulia liaMtume alifundisha kuwa muumini mmoja ni bora kuliko dunia yote na vilivyomo
Kwetu sisi masheikh wetu wanaozea Jela ni muhimu kuliko msikiti wowote utakaojengwa na Magufuli.
Waislamu hatuna shida ya majengo ya msikiti, kwanza tunaweza kujenga sisi wenyewe pili kwa mujibu wa dini yetu ardhi yote ni kama msikiti inafaa kuswaliwa, kwa hiyo hatuna uhaba na sehemu za kufanyia ibada, kwa hiyo hatudanganyiki!
Sisi tunataka Masheikh wetu wawe huru na pia tusibaguliwe kwenye teuzi na utumishi wa serikali kama tulivyobaguliwa na serikali ya Magufuli!
Ni jambo jema!Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ambao Rais Magufuli aliahidi atashirikiana na Wananchi wengine kuujenga na akaanza kwa kuendesha harambee ya ujenzi wake akiwa Kanisani Chamwino, hatimaye umekamilika.
Itakumbukwa Jumapili ya August 23,2020 JPM alihudhuria Misa Takatifu na uzinduzi wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Imakulata,Ikulu Chamwino, Dodoma, ambapo alisema Waislamu pia walichangia ujenzi wa Kanisa hilo na kuwataka na Wakristo kuungana na Waislamu kuchangia ujenzi wa Msikiti Chamwino kupitia harambee aliyoiendesha Kanisani hapo.
JPM alisema "Kwenye michango tuliyochangisha hapa Kanisani kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti Chamwino, tumepata jumla ya Tsh.Milioni 48 na Eflu 21, mifuko 48 ya cement na Lori 5 za mchanga, Rostam amechangia Mil 20, Bosa wa CRDB Nsekela Mil 10, pia CAG Kachere, Anthony Mavunde, RC Dodoma ni miongoni mwa waliochangia, sasa Msikiti utajengwa, Mimi nina Wasaidizi wangu wengine Waislamu yupo hai El Haji, wataswali kwenye Msikiti huo"
Twende na JPM 2020-2025
View attachment 1609855
Hii mbaya sana kwa psychology ya mtoto, huyo dogo mbele ya safari ataichukia hiyo rangi ya kijani maisha yake yote, hasa akikumbuka hilo tambara over size alilovalishwa akiwa mdogo.Dogo akifurahia kupelekwa mkutanoni.View attachment 1609866
Kama ndo rangi ililokupendeza wewe binafsi ni saw.Wangeupaka rangi ya kijani si ungependeza zaidi sheikh?
Shekhe Ponda Issa Ponda amesema Waisilamu wasihongwe Misikiti wakati Viongozi wao wakinyea debe na kuteswa ameyasema hayo Leo Tandahimba.