jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,776
- 1,619
Ipo sana tu mkuu hapa inasoma H+
Nimeenda kwenye settings halafu mobile networks, kuna sehemu wameandika general mode,hapa wameonesha line moja ya Airtel,so nimeshindwa kubadili
ni simu ya double line? maana unasema voda now naona airtel. kama ni double line nyingi line 1 inakuwa na 3g na line 2 inakuwa na 2g tupu.
Unatumia voda mkuu?
Kwa line ya airtel inasoma H+,sometimes bandle linakuwa limeisha na wakati huo voda linakuwepo, ila nikiunga data inaonesha EDGE ndo maana nachek uwezekano na voda isome H+
Kwa line ya airtel inasoma H+,sometimes bandle linakuwa limeisha na wakati huo voda linakuwepo, ila nikiunga data inaonesha EDGE ndo maana nachek uwezekano na voda isome H+
Then amishia line ya voda iwe kwenye line 1...kama alivosema mdau hapo juu...line 2 kwa sim nyingi inashika EDGE tu...so toa line ya voda ueke kwenye line 1.
HahahaaaaaaYan huko kwa network ni kmeo hakufai cjui kuna obama au bush huko
Hivi line ya kukata ndo ikoje?maana nasikia wanasema line ya kukata sijui ndo zikojeOk nashukuru mkuu,hapa inabidi niwe tu mpole maana line two ni ya kukata,ili kubadili inatakiwa nikate line one pia, ntafanya huo mchakato baadae. Asante
Hivi line ya kukata ndo ikoje?maana nasikia wanasema line ya kukata sijui ndo zikoje