ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,114
- 49,840
Tuko kwenye Kilimo,wapi irrigation scheme Arusha? Mambo ya start ups sio topic Kwa SasaAngalia stats wapi kati ya Arusha na Dodoma kuna mazao ya chakula au biashara??
Tuko kwenye Kilimo,wapi irrigation scheme Arusha? Mambo ya start ups sio topic Kwa SasaAngalia stats wapi kati ya Arusha na Dodoma kuna mazao ya chakula au biashara??
Ndivyo google inakudanganya si ndio? ๐๐๐Usidanganye na vishamba darsa kaka kasome uongeze maarifa
Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??Ndivyo google inakudanganya si ndio? ๐๐๐
Baada ya hiyo heavy cultivation mnaongoza Kuzalisha nini? ๐คฃ๐คฃ
changa la macho start ups za hectares 2000 au 3000 zisiwatie viburiTuko kwenye Kilimo,wapi irrigation scheme Arusha? Mambo ya start ups sio topic Kwa Sasa
changa la macho start ups za hectares 2000 au 3000 zisiwatie viburi
Dodoma the Capital City ๐๐Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
๐๐๐Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,MbaaziLeta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
Rubbish๐๐๐Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kilimo cha Karanga,Mtama(millet),Uwele(sorghum),Ufuta,Ulezi,Tende,Rosella,Ubuyu,Mbaazi
Wapi huko ambako uwanja mkali haujengwi? Soma hapa ๐๐Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Sifayangu humu JF huwa najibu hoja na facts tupu pekee....michambo na porojo peleka Facebook ๐๐Rubbish
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐๐.Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Hao wengine vikabila vidogo vidogo lakini pambaneni na njaa kwanzaUmekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐๐.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani๐๐
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐๐.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani๐๐
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu