Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Wavutabangi wa Arusha,msitetemeke mambo Bado yaani Bado ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Dom Airport ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C4yQE9PqzvQ/?igsh=Z3g4bTU3a3kxZnJy
1456376542.jpg
737237812.jpg
-43745534.jpg
 
Ndivyo google inakudanganya si ndio? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Baada ya hiyo heavy cultivation mnaongoza Kuzalisha nini? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Leta references zozote zinazosema dodoma inaongoza kulima chochote zaidi ya zabibu mkuu??
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€aliyekwambia SI unit ya kupima uzalishaji wa kilimo ni kuangalia mazao ya mahindi,ngano na mpunga pekeyake nani..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Arusha inaongoza kwenye zao gani hapo..!!?(labda bangi+mirungi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€)
-Lindi na Mtwara wanaongoza Afrika nzima kwa uzalishaji wa korosho Je tuwatoe kwenye list ya mikoa ya agricultural outputs kwasababu hawalimi mahindi wala ngano๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
-Pemba wanaongoza Afrika nzima kwa uzalishani wa Karafuu Je tuwatoe kwenye list kwasababu hawalimi Mahindi,ngano wala mpunga๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
-Tabora wanaongoza kwa uzalishaji wa Tumbaku Je tuwatoe kwenye list kwasababu mahindi,ngano na mpunga vinalimwa kwa kiwango kidogo
-Simiyu wanaongoza kwa kilimo cha Pamba Je tuwatoe kwenye list kwasababu hawalimi mahindi,ngano

Rudi shule wewe MEMKWA ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Karibu Arusha tunajenga uwanja mkali wakato mfalme wa Morocco akiwa tapeli wagogo
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
 
Samia Complex Chamwino Ikulu

Hapa kutakuwa na ukumbi mkubwa wa Mikutano,Jakaya Kikwete wa Dar ukasome.
Screenshot_20240327-054344.jpg
Screenshot_20240327-054416.jpg
Screenshot_20240327-054108.jpg
Screenshot_20240327-054123.jpg
Screenshot_20240327-054053.jpg
Screenshot_20240327-054025.jpg
Screenshot_20240327-053925.jpg
Screenshot_20240327-053943.jpg
Screenshot_20240327-054013.jpg
Screenshot_20240327-053958.jpg
Screenshot_20240327-053907.jpg
 
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
Hao wengine vikabila vidogo vidogo lakini pambaneni na njaa kwanza

Mkuu angalia jambo letu jipya Arusha
Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
comvetion-pixels-1.jpg
 
Back
Top Bottom