ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,114
- 49,840
Nashukuru sana Kwa hii pointi.Mara nyingi nimekuwa nasema yaani pesa zetu wa Mikoani Zinaenda kujengwa na kushughulikiwa Dar then tunaonekana hatuna mchango.Hila la makusanyo ya TRA kuna uhunu umefanyika wale walipa kodi wote wakubwa wa Mikoani wanalipishwa kodi Dar ilala kwenye kitengo cha Large Tax payers hivyo kuoka mikoa mingi mapato yaa makubwa. refer Billionea Mshobozi Babati.
This stupidity must stop,hao TRA kwa nini wasiwe na Ofisi za walipaji wakubwa huko huko Mikoani?
Mali zetu nyingi sana zinavunwa Mikoani na Kupelekwa Dar eg chai,pareto,mkonge nk