Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Hila la makusanyo ya TRA kuna uhunu umefanyika wale walipa kodi wote wakubwa wa Mikoani wanalipishwa kodi Dar ilala kwenye kitengo cha Large Tax payers hivyo kuoka mikoa mingi mapato yaa makubwa. refer Billionea Mshobozi Babati.
Nashukuru sana Kwa hii pointi.Mara nyingi nimekuwa nasema yaani pesa zetu wa Mikoani Zinaenda kujengwa na kushughulikiwa Dar then tunaonekana hatuna mchango.

This stupidity must stop,hao TRA kwa nini wasiwe na Ofisi za walipaji wakubwa huko huko Mikoani?

Mali zetu nyingi sana zinavunwa Mikoani na Kupelekwa Dar eg chai,pareto,mkonge nk
 
Misitu ndio inaleta hewa nzuri hatunywi maji ya chumvi sisi
Campsite ndio zinaleta kodi/ dollars πŸ’΅ 🀣 😳 mkuu
Ukiona misitu mjini jua hapo ni Bush na wanaishi tumbili.

Hewa nzuri inaletwa na miti n uoto uliopangwa Kwa mpangilio sio unatuletea misitu.Jengeni Mji wenu kwanza.

Mwisho mbona mumeoza meno shida nini? 🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti maji ya chumvi...kati ya Arusha na Dodoma wapi wakazi wake wameoza meno au meno yenye rangi rangi kama kenge πŸ˜†πŸ˜†
 
Dodoma nimeishi five year kwenye battle ya mkoa unaokua kwa kasi ni dodoma lakini Aruxha ni kelele ingine arifuuuu mkoa una utajiri mnooo huwez kuamini, watu wao tu wanaweka pesa mfukoni....dodoma kuna machimbo ya dhahabu pale nyarugusu........ita mabilionea wa aruxha alafu ita bilionea wa dodoma uwalinganixhe kama watalingana.....
 
Arusha Ili enjoy mbeleko ya Serikali Kwa miaka Mingi sana,Sasa Dom haijafikisha hata miaka 10 Toka uwekezaji serious wa Serikali uanze tayari tunasikia vilio kutoka Arusha na Mwanza πŸ€ͺπŸ€ͺ

Ni hivi hapo Bado sana ndio kuna kucha ,by 2030 Dom ndio itakuwa second Biggest City in Tanzania
 
Dar es saalam is still on fire sababu ya kupendwa na wengi....Tatizo la dodoma watanzania wachache wamepaelewa.......aruxha na mwanza pia watu wamepaelewa.
 
Huwa nawashangaa sana ,Toka sensa ya 2012 Dodoma ni Jiji la 3 Kwa Wingi wa watu Tanzania na Mkoa wa 7 Kwa idadi kubwa ya Watu Tanzania,kama hawajapaelewa hao watu wote Kwa nini hawahami badala yake Wanazidi kuhamia kutoka hiyo Mikoa yenu na kuzaliana Kwa Kasi.

Hizo stori za kutunga Huwa mnazitoa wapi? Angaliza population growth rates hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20231031-061536_1.jpg
Screenshot_20231031-070446_1.jpg

In fact hakuna mtu anashoboko na Dar Kwa Sasa watu wanakimbilia Pwani.
 
Huwa nawashangaa sana ,Toka sensa ya 2012 Dodoma ni Jiji la 3 Kwa Wingi wa watu Tanzania,kama hawajapaelewa hao watu wote Kwa nini hawahami badala yake Wanazidi kuhamia kutoka hiyo Mikoa yenu na kuzaliana Kwa Kasi.

Hizo stori za kutunga Huwa mnazitoa wapi? Angaliza population growth rates hapa πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2933223View attachment 2933224
Kwa sensa ya mwaka 2012 nakataa hizi data wamepika tu ili dom iwe jiji nimeishi dodoma 2014 hapakuwa na watu kama dar, wala arusha, wala mwanza na wala hata mbeya kivipi mkoa huo uwe wa tatu maana halikuwa jiji na magu hakuwa kazaliwa kwenye nafasi ya uraisi.
 
Unaelewa kweli wewe? Wapike Ili kitokee nini? Kuwa Jiji ni mchakato wa vigezo vingi sio idadi ya watu pekee maana Kahama au Morogoro au Geita Wana watu wengi kushinda Tanga lakini Tanga ni Jiji ila huko kwingine ni Manispaa.

Narudia tena kukwambia porojo za sijui Dodoma hawajapaelewa ni za kwako ila ukienda kwenye ground ni vitu tofauti.
 
Kama unapafahamu singida ya sasa basi palikuwa pako ivo dodoma mwaka 2014
 
Cha ajabu ni kipi? Ndio maana ya Maendeleo baada ya kuwa Mji Mkuu.

Kwa miaka 10 kutoka 2012-2022 Dom imeongeza watu Laki 3 ,hakuna Jiji lingine Nje ya Dar na hapo hatujazungumzia kule Chamwino ni ndani ya Mipaka ya Jiji tuu.

Na trend hiyo itaendelea zaidi Kwa miaka 10 ijayo,ndio kusema 2032 Dom itakuwa second Biggest City Kwa Tanzania,wakati huo itakuwa na Manispaa ya Chamwino.
 
Kwa hili sikupingi ila vile vitakwimu vya sensa ya 2012 ndio havijanikaa akilini ila mwanangu dom kubaya kimazingira.
 
Unapinganaje na takwimu bwashee? Hizo ndio takwimu rasmi mengine ni maoni Yako.

Kama Dom ita mantain growth rates ya Mji iliyopo Sasa Hadi 2032 usije kushangaa kukuta Jiji la Dom plus Chamwino MC una watu 1.4mln
Screenshot_20240313-110905.jpg
Screenshot_20240313-110746.jpg
Screenshot_20240313-111112.jpg
 
Kwa hili sikupingi ila vile vitakwimu vya sensa ya 2012 ndio havijanikaa akilini ila mwanangu dom kubaya kimazingira.
πŸ˜†πŸ˜†Kama mazingira ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Makete,Njombe zingekua zinaongoza Tanzania
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti maji ya chumvi...kati ya Arusha na Dodoma wapi wakazi wake wameoza meno au meno yenye rangi rangi kama kenge πŸ˜†πŸ˜†
Arusha kulikuwa na source 2
Moja chemchemi toka mlimani ambayo ni maji safi kabisa
Pili maji ya visimani ndio vina madini ya fluoride ambayo yana sifa ya kuharib mifupa na kwa sasa watu wanapata maji safi ya jiji unakunywa bila kuchemsha nguo unafua hazipauki kama dodoma πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ endeleeni kula ubuyu
 
Ukiona misitu mjini jua hapo ni Bush na wanaishi tumbili.

Hewa nzuri inaletwa na miti n uoto uliopangwa Kwa mpangilio sio unatuletea misitu.Jengeni Mji wenu kwanza.

Mwisho mbona mumeoza meno shida nini? 🀣🀣
Mkuu misitu ni afya tunafanya kitu kinaitwa carbon sequestration msitu unapunguza joto na kuondoa hewa ukaa.mji wetu ndio unakamata no2 kwa kodi mkuu
Kama kwa nyie washamba kale kanyumba ndio hekalu basi mna safari ndefu sana kufikia level hizi za Jiji la Dom πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/dHc-IZeD6c0?si=TsLIKZKGXBrnLrnl

Hizo renders unazima hapo ndivyo majengo yote ya Wizara yatakuwa,kilichojengwa ni awamu ya 1 tuu ila kuja majengo 3 yaliyoungana Juu Kwa Juu kutoka Gorofa Moja kwenda jingine.

Yaani Bado hamjasema Hadi muombe poo 😁😁

Hahahaha mkuu nyumba private mnalinganisha na majengo ya wizara?? Mna taabu sana wagogo
 
Mkuu misitu ni afya tunafanya kitu kinaitwa carbon sequestration msitu unapunguza joto na kuondoa hewa ukaa.mji wetu ndio unakamata no2 kwa kodi mkuu

Hahahaha mkuu nyumba private mnalinganisha na majengo ya wizara?? Mna taabu sana wagogo
Joto au baridi na maendeleo ya Mji wapi na wapi? πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom