Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Nafasi yenu kwenye list ya mikoa maskini
5. Dodoma

Umaarufu wa mkoa huu hautokani tu na zabibu zake tamu ambazo hutumika kutengeneza aina mbalimbali za mvinyo bali kuhamishiwa kwa shughuli za Serikali kwa kuufanya kuwa makao makuu ya nchi kumeuongezea hadhi na umaarufu zaidi.

Idadi ya watu kwenye mkoa huu uliopo katikati mwa Tanzania si ya kutia shaka, kwani mpaka mwaka 2022 walikuwa na zaidi ya wakazi milioni 3 ambao wastan wa kipato chao kwa mwaka mzima ni Sh1.7 milioni ambacho bado ni cha chini ya wastani wa pato la taifa kwa zaidi ya nusu.

Uchambuzi wa takwimu hizo za NBS unaonesha kuwa ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja uliporomoka kwa asilimia 2.4 mwaka 2022 ukilinganisha na ule wa 2021 ambao ulipanda kiduchu kutoka mwaka 2020.

Huenda ujenzi wa miradi mikubwa ya Serikali kama barabara, miradi ya kilimo, pamoja na reli ya kisasa ikachechemua ukuaji wa uchumi wa wakazi wa mkoa huo jambo litakaloinua pato lao.
Dodoma Haina Mpango wa kupoa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/Nnauye_Nape/status/1767449471636345010?t=2dCPaHlS_O8o4TbvtPZr2w&s=19

My Take: Punguza wivu Kwa Dom,bila Serikali kujenga Arusha ingekuwa kama Monduli πŸ˜†πŸ˜†
1710228432822.png

20240312_103612.jpg
 
View attachment 2932497
View attachment 2932502

Tumo international now
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ sisi tulishatoka huko kwenye masaiti tuna ghorofa elfu 8000 tayari nyie pambaneni tumaliza tembe
 
Tumo international now
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ sisi tulishatoka huko kwenye masaiti tuna ghorofa elfu 8000 tayari nyie pambaneni tumaliza tembe
Coordination office na HQ ni vitu 2 tofauti,ndio maana huwezi ona WFP wakijenga structure Kali kama hii ya TBC HQ hapa πŸ‘‡
20240312_103612.jpg

Pili hiyo ni lot 1 Kuna zingine 3 zinakuja.Mtajua hamjuiπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C4adhPxujl6/?igsh=MXd6bTZzeW0yaTFhdQ==
-2126549725.jpg
-518481821.jpg
-1869579972.jpg
 
Tumo international now
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ sisi tulishatoka huko kwenye masaiti tuna ghorofa elfu 8000 tayari nyie pambaneni tumaliza tembe
πŸ˜€πŸ˜€WFP Liaison office Dodoma ipo zaidi ya miaka 20 ....sasa huko Arusha ndio mnashangaa leo na nyinyi kufikiwa.
Kwa taarifa yako tu mashirika karibia yote ya kimataifa yana ofisi jijini Dodoma kwamfano ...WFP,FAO,UNICEF,WHO,UNFPA,UNHCR/IMO,EGPAF,SAVE THE CHILDREN,PACT,PLAN INTERNATIONAL,PATH,JHPIEGO,ENGENDER HEALTH n.kπŸ‘‡πŸ‘‡

World Food Programme
4.4 (14)
Corporate office in Dodoma

Directions
Address: RQ72+GMG, Kikuyu Ave, Dodoma
 
Wanashangilia ujinga 🀣🀣🀣🀣

Dom inazidi ku close Gap ya magorofa with construction of new Six floor IAA campus building πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1767562757916836317?t=EQkvOlzlj1nrbsGB2o1hkg&s=19

View: https://youtu.be/rklat9tgPvc?si=4LuVaUCztmOIg5iS
-1927275158.jpg
-213357746.jpg
 
Coordination office na HQ ni vitu 2 tofauti,ndio maana huwezi ona WFP wakijenga structure Kali kama hii ya TBC HQ hapa πŸ‘‡View attachment 2932578

Pili hiyo ni lot 1 Kuna zingine 3 zinakuja.Mtajua hamjuiπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C4adhPxujl6/?igsh=MXd6bTZzeW0yaTFhdQ==

Hahahaha sisi hatuhangaiki kama ninyi mnaotegemea government parastatals πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ huku tuna International organizations sio hizo taka taka Tibisii cherekoo cherekoo
 
πŸ˜€πŸ˜€WFP Liaison office Dodoma ipo zaidi ya miaka 20 ....sasa huko Arusha ndio mnashangaa leo na nyinyi kufikiwa.
Kwa taarifa yako tu mashirika karibia yote ya kimataifa yana ofisi jijini Dodoma kwamfano ...WFP,FAO,UNICEF,WHO,UNFPA,UNHCR/IMO,EGPAF,SAVE THE CHILDREN,PACT,PLAN INTERNATIONAL,PATH,JHPIEGO,ENGENDER HEALTH n.kπŸ‘‡πŸ‘‡

World Food Programme
4.4 (14)
Corporate office in Dodoma

Directions
Address: RQ72+GMG, Kikuyu Ave, Dodoma
Hizo ni matawi na sababu za kuwa na office dodoma ni coordination! Na serikali wala sio kuwa wamechagua dodoma by convenience.
Arusha ni natural attraction uliza kwanin wana office Arusha ambayo sio mji mkuu wala mji mkubwa nchini
 
Hahahaha sisi hatuhangaiki kama ninyi mnaotegemea government parastatals πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ huku tuna International organizations sio hizo taka taka Tibisii cherekoo cherekoo
Una kichwa kigumu kuelewa kama kuku.
Bila Serikali Arusha ni dampo kama madampo mengine.Kinachoitwa sijui international organizations ni taasisi kama za Serikali hazifanyi biashara kama hizo za Dodoma.

Mnapopigwa BAO na Dom ni kwamba Taasisi za Serikali ni nyingi kuliko hizo za Kimataifa.Zinazoitwa za Kimataifa hata 3 hazifiki na zingine zote ni Serikali 😁😁

Mwisho punguza wivu Dom ikupe dozi stahiki ya Capital City
 
Hahaaahaha nikikutana na ubishi nakuletea Takwimu?!!
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.
 
Hizo ni matawi na sababu za kuwa na office dodoma ni coordination! Na serikali wala sio kuwa wamechagua dodoma by convenience.
Arusha ni natural attraction uliza kwanin wana office Arusha ambayo sio mji mkuu wala mji mkubwa nchini
Dodoma ni makao makuu ya Chama plus makao makuu ya mihimili yote mitatu ya serikali..... Executive, Judiciary, Parliament
Arusha hakuna ofisi yoyote ya UNπŸ˜†πŸ˜†.Arusha walikua wanajivunia UN-ICTR ila ilishafungwa tangu enzi πŸ‘‡πŸ‘‡

Hahaaahaha nikikutana na ubishi nakuletea Takwimu?!!
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.
Utabadili kila aina ya topics ila unachapwa na facts tupu.
Kitu pekee Arusha inachozidi Dom City ni sekta ya utalii na hoteli basi lakini Arusha haifiki hata robo ya Dodoma kwa vigezo vyote vya kupima ubora wa mji kwamfano...πŸ‘‡πŸ‘‡
-ubora wa mipangomiji(kiuhalisia afrika masharikiyote hakuna mji wowote unaokaribia)
-ubora wa miundombinu(Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami na serikali inazidi kuwapendelea tuπŸ˜†πŸ˜†)
-ubora wa huduma za kijamii(na hapo serikali bado haijahamia yote full mpaka sasa ni phase 1 tu bado phase 2 na phase 3)
-uwepo wa mashirika na taasisi nyingi za serikali na kimataifa(mpaka sasa balozi ndogo mbili za ujerumani na uingereza tayari zingine zitafuata)
-security wise (sijawahi kusikia tukio lolote kubwa la ujambazi jijini Dodoma kama ilivyo kwa Arusha ambapo ujambazi,wizi,vibaka,mauaji ni sehemu ya maishayao)
 
Hahaaahaha nikikutana na ubishi nakuletea Takwimu?!!
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.
Dodoma baby πŸ‘‡πŸ‘‡
20240312_163157.png
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 hata kule Babati kwetu tunakuja kwa kasi ya ajab si uneona hekalu alilojenga muhaya.
Hatuna dogo sisi mafogo wanatuinua
Kama kwa nyie washamba kale kanyumba ndio hekalu basi mna safari ndefu sana kufikia level hizi za Jiji la Dom πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/dHc-IZeD6c0?si=TsLIKZKGXBrnLrnl

Hizo renders unazima hapo ndivyo majengo yote ya Wizara yatakuwa,kilichojengwa ni awamu ya 1 tuu ila kuja majengo 3 yaliyoungana Juu Kwa Juu kutoka Gorofa Moja kwenda jingine.

Yaani Bado hamjasema Hadi muombe poo 😁😁
 
Back
Top Bottom