Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Unachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwa😀😀.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandani😀😀.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k
Radio Tadio
https://radiotadio.co.tz › 2023/03/31
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma

31 Mar 2023 — ... njaa ambalo linaweza kuukumba Mkoa endapo suluhisho la haraka halitafanyika. Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Muonekano wa mazao katika moja ...
 
Unachekesha sana hivi umewahi kusikia soko la kimataifa la mahindi+nafaka Kibaigwa,umewahi kusikia kuhusu ranchi kubwa ya mifugo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati ya Kongwa😀😀.Unasema eti Ardhi ya Dodoma haina afya wakati Dodoma mazao yote wanalima kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea wala madawa ya viwandani😀😀.Kama Ardhi ya Dodoma haina afya basi wasingeongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Karanga,Mbaazi,Ufuta n.k
Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz › ma...
Malecela atoa somo kuepusha njaa Dodoma

7 Mar 2021 — Muktasari: Makamu Mkuu wa Rais mstaafu, John Malecela ameishauri Serikali kutilia mkazo kilimo cha umwagiliaji katika Mkoa wa Dodoma.

😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 huwa sipendi ubishi usio na sababu
1710068052365.jpeg
IPPMEDIA
https://www.ippmedia.com › habari
 
Kwa mara ya mwisho ulisikia ni lini Kuna njaa Dom?

Nimeuliza kwani Ili Mji ukue inahitaji Utalii na mbuga pekee?

Mji gani hauna natura factors? Irrigation farming ni uhakika kuliko Kilimo Cha mvua.

Hapo Arusha Ardhi yake nyingi Iko protected na uhifadhi na imehodhiwa sana tofauti na Dodoma.

Dodoma Haina mvua nyingi lakini Ina maji ya kutosha Ardhini na Ardhi ambayo ni tambarare sehemu kubwa ukitoa Kondoa.

Madini yapo na geografia yake ya kuwa junction ni turufu muhimu sana.Saizi Dom ni soko kama ilivyo Dar au Mwanza.Arusha sio somo ni producing area.
Radio Tadio
https://radiotadio.co.tz › 2023/03/31
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma

31 Mar 2023 — ... la njaa ambalo linaweza kuukumba Mkoa endapo suluhisho la haraka halitafanyika. Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Muonekano wa mazao katika ...
Missing: baa ‎| Show results with: baa
 
Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz › ma...
Malecela atoa somo kuepusha njaa Dodoma

7 Mar 2021 — Muktasari: Makamu Mkuu wa Rais mstaafu, John Malecela ameishauri Serikali kutilia mkazo kilimo cha umwagiliaji katika Mkoa wa Dodoma.

😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 huwa sipendi ubishi usio na sababu
View attachment 2930343
IPPMEDIA
https://www.ippmedia.com › habari
unabisha ili uonekane na wewe unabisha ila kiukweli hujawahi kufika wala kuishi Dodoma umesimuliwa tu ndiomana hujui kuwa Dodoma ni mojawapo ya mikoa michache iliyobarikiwa Ardhi ambayo ili uzalishe haihitaji mbolea za kisasa wala madawa ya kilimo kama mikoa mingine mingi hapa Tanzania.
Kwa kukusaidia tu Mahindi yanayolimwa Kibaigwa,Mlali,Mkoka Kongwa ukiyaleta masoko ya Dar yanauzika haraka kuliko Mahindi yoyote kutokana na ubora wake wa kutotumia mbolea za viwandani.

Na hizi division zote nne zinaandaliwa kuja kuwa manispaa ndo maana Kila division Ina project zake dodoma ko watu wa arusha gap halipingiki Dom kwa plan zinazoendele itakuwa ya pili tu Cha msingi ni mikoa mingine ijifunze utengenezaji wa miji wa mfumo huu hasa Ile inayokuwa haraka yenye maeneo ya kutosha iliyo na junction kama dodoma itasaidia miji kukaa vizuri View attachment 2929976View attachment 2929977
Hakuna mji wowote Tanzania unaofikia hata nusu ya ubora wa mipangomiji na miundombinu Dodoma hilo halina ubishi.Kitu pekee Arusha inazidi Dodoma ni sekta ya Utalii
 
Radio Tadio
https://radiotadio.co.tz › 2023/03/31
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma

31 Mar 2023 — ... la njaa ambalo linaweza kuukumba Mkoa endapo suluhisho la haraka halitafanyika. Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Muonekano wa mazao katika ...
Missing: baa ‎| Show results with: baa
Wapi Arusha?
 
Wapi Arusha?
Mkuu hata kokoto ni madini 😄 🤣 😂 😆 nafikiri angalia value zaidi ya uwingi hayao madini yana value?? Mwisho wa siku usisahau madini ni ya wazungu sio yetu ndio maana Arusha tunalipa kodi kiliko mikoa yenye migodi
 
unabisha ili uonekane na wewe unabisha ila kiukweli hujawahi kufika wala kuishi Dodoma umesimuliwa tu ndiomana hujui kuwa Dodoma ni mojawapo ya mikoa michache iliyobarikiwa Ardhi ambayo ili uzalishe haihitaji mbolea za kisasa wala madawa ya kilimo kama mikoa mingine mingi hapa Tanzania.
Kwa kukusaidia tu Mahindi yanayolimwa Kibaigwa,Mlali,Mkoka Kongwa ukiyaleta masoko ya Dar yanauzika haraka kuliko Mahindi yoyote kutokana na ubora wake wa kutotumia mbolea za viwandani.

We ni fala kweli eti sijawahi kufika dodoma peleka ujinga wako huko.. dodoma mkoa wa ovyo njaa na umaskini watu wanashindia ubuyu kila mwaka!!!? Wrwe unaongelea baraka ipi kuombaomba ni baraka!
 
Mkuu hata kokoto ni madini 😄 🤣 😂 😆 nafikiri angalia value zaidi ya uwingi hayao madini yana value?? Mwisho wa siku usisahau madini ni ya wazungu sio yetu ndio maana Arusha tunalipa kodi kiliko mikoa yenye migodi
Kwa hiyo umesoma wameandika kokoto hapo? Au unatafuta mlango wa kutokea?
Screenshot_20240310-142305.jpg
Screenshot_20240310-142332.jpg
 
We ni fala kweli eti sijawahi kufika dodoma peleka ujinga wako huko.. dodoma mkoa wa ovyo njaa na umaskini watu wanashindia ubuyu kila mwaka!!!? Wrwe unaongelea baraka ipi kuombaomba ni baraka!
Unaruka ruka tu badala ya kujibu hoja .Mwanzo umesema ardhi ya Dodoma haina afya ni ukame na haifai kwa uzalishaji😆😆 sasa jibu maswali haya👇👇

1.Inakuaje soko la kimataifa la mahindi na nafaka likajengwa Kibaigwa
2.Inakuaje Ranchi kubwa ya mifugo Narco iwe Kongwa
3.Inakuaje Dodoma iwe second largest wine producing zone in Africa baada ya South Africa
4.Inakuaje Dodoma iwe ya pili baada ya Songea kwa kuwa na vihenge+maghala makubwa ya kuhifadhia nafaka yanayomilikiwa na NFRA, WFP na FAO
5.Inakuaje Dodoma kujengwe Mnada wa kimataifa wa mifugo Kigwe-Bahi unaohudumia East and Central Africa yote
6.Inakuaje Dodoma ikaongoza Tanzania kwa kilimo cha Zabibu,Karanga,Ufuta,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella,Mbaazi ,Choroko n.k

Kama kweli umewahi kufika na kuishi Dodoma basi naomba ujibu hayo maswali kwa facts tupu...michambo ,hisia,stori za vijiweni peleka Facebook humu ni JF kwa great thinkers 😆😆
 
6

1.Hakuna logic hata moja inaonekana wewe mweupe hauna ujuacha.
Soko la mahindi kuwa dodoma ni sabab ya njaa zenu ili mkipigwa na njaa mgawiwe kirahisi ( kwenye bread basket regions dodoma haipo hata top10)

2. Yes qualitatively udongo wa dodomq hauna afya huo ndio ukweli ardhi nzuri ni ile yenye asili ya volcano yenye mchanganyiko wa madini ya kutosha (dodoma haina hii).

3 umesema uongo dodoma sio second largest wine producer in Africa go and correct your facts . Yes zabibu zinastawi vema dodoma sababu inahitaji dry air iso na humidity pia inaweza limwa mikoa ya singida, shinyanga, manyara etc.

4. Swala la ghala za nafaka ni sababu ya logistics sio kuwa mahindi yanalimwa dodoma kaangalie mikoa inayolima nafaka kwa wingi (dodoma haimo)
.5 mnada wa mifugo sijui kama kweli au uongo sina taarifa nao ila mifugo inatoka mingi dodoma ni kweli kama mikoa mingine kaka Tabora Arusha Manyara na kanda ya ziwa inawezekana ni logistics pia.

6 mwisho umetaja mazao yanayolimwa dodoma je mkoa gani haulimi hayo mazao??
Ukiondoa zabibu ni zao gani mkoa wa dodoma unaongoza kulima
 
Huwa sipendi makelele naandika with supportive evidence
Stable food Tanzania ni
Mahindi
Mchele
Ngano
Hakuna sehem dodoma inaonekana labda siku tukianza kula ubuyu
 
Attachments

  • Screenshot_20240311-111359_Chrome.jpg
    Screenshot_20240311-111359_Chrome.jpg
    543.7 KB · Views: 3
  • a617d3a793e4c089f55b2d4467caab98b471d6c2.png
    a617d3a793e4c089f55b2d4467caab98b471d6c2.png
    217.3 KB · Views: 4
6

1.Hakuna logic hata moja inaonekana wewe mweupe hauna ujuacha.
Soko la mahindi kuwa dodoma ni sabab ya njaa zenu ili mkipigwa na njaa mgawiwe kirahisi ( kwenye bread basket regions dodoma haipo hata top10)

2. Yes qualitatively udongo wa dodomq hauna afya huo ndio ukweli ardhi nzuri ni ile yenye asili ya volcano yenye mchanganyiko wa madini ya kutosha (dodoma haina hii).

3 umesema uongo dodoma sio second largest wine producer in Africa go and correct your facts . Yes zabibu zinastawi vema dodoma sababu inahitaji dry air iso na humidity pia inaweza limwa mikoa ya singida, shinyanga, manyara etc.

4. Swala la ghala za nafaka ni sababu ya logistics sio kuwa mahindi yanalimwa dodoma kaangalie mikoa inayolima nafaka kwa wingi (dodoma haimo)
.5 mnada wa mifugo sijui kama kweli au uongo sina taarifa nao ila mifugo inatoka mingi dodoma ni kweli kama mikoa mingine kaka Tabora Arusha Manyara na kanda ya ziwa inawezekana ni logistics pia.

6 mwisho umetaja mazao yanayolimwa dodoma je mkoa gani haulimi hayo mazao??
Ukiondoa zabibu ni zao gani mkoa wa dodoma unaongoza kulima
😀😀Unachekesha sana aisee uwezo wako wa kujibu hoja+facts unafaa uende facebook ndio kumejaa porojo na michambo humu JF unaaibika tu... eti soko la kimataifa la mahindi+nafaka lijengwe sehemu yenye njaa🤣🤣🤣.
Ndiomana nasema nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika wala kuishi Dodoma .Ungekua umewahi kukanyaga Dodoma hata maramoja ungejua kuwa Kongwa,Mlali,Mkoka,Songambele ni mojawapo ya maeneo maarufu Tanzania kwa uzalishaji wa mahindi tena Grade one yasiyotumia mbolea.
Nimekuuliza maswali sita umeshindwa kujibu hata moja unaruka ruka tu kubadili topics😀😀
 
mwisho umetaja mazao yanayolimwa dodoma je mkoa gani haulimi hayo mazao??
Ukiondoa zabibu ni zao gani mkoa wa dodoma unaongoza kulima
😆😆ulisema kwamba Dodoma ardhiyao haina afya ni ukame na wala haifai kwa kilimo sasa out of 31 regions in Tanzania naomba unitajie top 3 inayoongoza kwa uzalishaji kila zao lifuatalo apa chini👇👇
1.Alizeti
2.Zabibu
3.Mtama
4.Uwele
5.Rosella
6.Tende
7.Karanga
8.Choroko
9.Mbaazi
10.Citrous fruits(eg staferi,zambarau,topetope,
 
Kwa hiyo umesoma wameandika kokoto hapo? Au unatafuta mlango wa kutokea?
View attachment 2931023View attachment 2931024
Hadi Uranium imegunduliwa huko Haubi na Pahi Kondoa.
Kuna hater mmoja wa Dom alisema eti Arusha pekee yanapatikana madini ya Tanzanite nikamwambia madini ya Tanzanite yanachimbwa Mererani/Mirerani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara akakimbia thread...🤣🤣🤣
 
Huwa sipendi makelele naandika with supportive evidence
Stable food Tanzania ni
Mahindi
Mchele
Ngano
Hakuna sehem dodoma inaonekana labda siku tukianza kula ubuyu
Unachekesha sana rudi shule aisee yaani unataka tupime uzalishaji kimkoa kwa mazao mawili😀😀.Kama kigezo ndio hicho basi tuitoe kabisa hata mikoa mingine inayolima kwamfano Korosho,Pamba,Pareto,Chai,Miwa,Kahawa,Tumbaku n.k🤣🤣
 
U

Unaendelea kudhihirisha ujinga wako siko hapa kubishana:
Dodoma hakuna staple inaongoza au kukaribia kuongoza kama zabibu ni sehem chache na watu wachache wanalika haifaidishi community sana ndio maana mkoa uko mkiani kwa kila aina ya takwimu acha ubishi.. nikiendelea kashusha list utaaibika (IAM A RESEARCHER)
 
😆😆ulisema kwamba Dodoma ardhiyao haina afya ni ukame na wala haifai kwa kilimo sasa out of 31 regions in Tanzania naomba unitajie top 3 inayoongoza kwa uzalishaji kila zao lifuatalo apa chini👇👇
1.Alizeti
2.Zabibu
3.Mtama
4.Uwele
5.Rosella
6.Tende
7.Karanga
8.Choroko
9.Mbaazi
10.Citrous fruits(eg staferi,zambarau,topetope,
Nafasi yenu kwenye list ya mikoa maskini
5. Dodoma

Umaarufu wa mkoa huu hautokani tu na zabibu zake tamu ambazo hutumika kutengeneza aina mbalimbali za mvinyo bali kuhamishiwa kwa shughuli za Serikali kwa kuufanya kuwa makao makuu ya nchi kumeuongezea hadhi na umaarufu zaidi.

Idadi ya watu kwenye mkoa huu uliopo katikati mwa Tanzania si ya kutia shaka, kwani mpaka mwaka 2022 walikuwa na zaidi ya wakazi milioni 3 ambao wastan wa kipato chao kwa mwaka mzima ni Sh1.7 milioni ambacho bado ni cha chini ya wastani wa pato la taifa kwa zaidi ya nusu.

Uchambuzi wa takwimu hizo za NBS unaonesha kuwa ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja uliporomoka kwa asilimia 2.4 mwaka 2022 ukilinganisha na ule wa 2021 ambao ulipanda kiduchu kutoka mwaka 2020.

Huenda ujenzi wa miradi mikubwa ya Serikali kama barabara, miradi ya kilimo, pamoja na reli ya kisasa ikachechemua ukuaji wa uchumi wa wakazi wa mkoa huo jambo litakaloinua pato lao.
 
Unajitahidi kuhamisha magoli kwa kubadili badili topics badala ya kujibu hoja+facts.
Nimekuuliza maswali umeshindwa kujibu hata moja unaokoteza stori za google.
Mind you nimeishi na kufanya kazi kwenye halmashauri zote nane za Dodoma(Kondoa TC,Kondoa DC,Chemba,Bahi,Chamwino,Kongwa,Mpwapwa, na Dodoma CC) naijua Kanda Ya Kati yote in and out sio kama wewe ambaye hujawahi kufika yawezekana ulikatisha tu na basi wakati unarudi mkoani kwako.😆😆
 
Back
Top Bottom