ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 8,046
- 2,931
Haka ka mradi lenu imekuwa kama stori za Liganga na Mchuchuma au kusubiria kuja Kwa Yesu 😆👇
View: https://www.instagram.com/p/C1JiD2PNrhC/?igsh=MWpiOGJpcnJxZWZlNg==
Changamoto ya kimazingira ziwa lile na mazalia ya flamingos pia. Lakin mradi uko kwenye pipeline utazidi leta kipato tutazidi kuwaacha mbali dodoma hadi Yesu arudi