Dodoma City In Photos

ngoja tuone lakini hata dar haikuwa ilivyo sasa wakati inatamkika jiji naamini thamani ya miundo mbinu ya wakati ule na sasa dodoma inaweza kuwa vizuri.
kuna uzembe ulikuwepo mwanzo na kikawa chanzo cha mji huu kuwa nyuma ngoja tuone kwa sasa itakuwaje kwa kuwa mpishi ameamua kupika mboga wakati unga haujanunuliwa labda itasaidia wakiona mboga zitapoa na kuni hazitoshi.
 
Ukitembelea nchi nyingine alafu ukirudi Bongo unaambiwa Tanga ni jiji, Arusha jiji, Dodoma jiji na Mbeya jiji unaweza kulia.

Ukimalizia Dar es salaam ambayo ukiwa angani iko kama Mogadishu.

Kweli ni majiji ya nchi za ulimwengu wa 3.
Hakika ni hivyo. Ndiyo maana yake. Wenyewe wanaoyapa hadhi majiji hayo hawana maana yana sifa kama zile za Paris, London, Manchester, Liverpool, Washington DC, New York etc.
 
Wana ruhusu kupiga picha hapo kwenye iyo bikiramaria?
Hiyo sanamu si ya Bikira Maria. Ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Hakika ni hivyo. Ndiyo maana yake. Wenyewe wanaoyapa hadhi majiji hayo hawana maana yana sifa kama zile za Paris, London, Manchester, Liverpool, Washington DC, New York etc.
Ila kweli hii ni kwa kiwango chetu nchi zinazoendelea (ulimwengu wa tatu). Na Dom itakuja kuwa jiji la mfano kwa Tanzania, sababu ina pangwa kulingana na mipango ya majiji ya kisasa. Japo ni mapema, tupende vyetu
 
Hakuna jiji Tanzania labda Tanga lilopangwa kama Dodoma. Arusha, Mwanza,Mbeya na Dar kwenye mipango miji ni takataka kabisa
 
Morena Hotel kama sikosei. Lakini hiyo ni sawa tu na Naf Beach kule Mtwara
 
Labda 5 star hotel ndo hakuna, vingine vya juu yake vyote vipo!
Mkuu muogope Mungu wengine tupo Dodoma, saidia jamii kuwaeleza vilipo? Mbali na katoto ka uwanja wa ndege vingine vipo wapi? Mkurugenzi kasema watajenga wewe unasema vipo Nani mkweli hapo?
 
Hii ngoma itakesha mkuu ahsante nashukuru
Nzuguni international stadium na msalato international airport
Wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…