FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Ila hizo tiles zilizowekwa hapo zinadhalilisha hilo jiji,yanabanduka kama biskuti, kule Dodoma Itiso kuna mawe mazuri meusi aina ya 'granite' yanachimbwa kule, yatumike kupamba hiyo 'square'.Wakazi wa Dodoma naomba huu mji sasa tuuite DC tu, itapendeza zaidi ya Dom City.........
View attachment 756896
Wagogo ndiyo wenyeji dodoma city.Warangi ni wa Dodoma City? Kondoa? Na wagogo je?
sasa kwani Mkoa wote wa Dodoma ndo umetangazwa kuwa jiji? au ni Manispaa ya Dodoma ndo imetangazwa kuwa jiji? Kama niManispaa ya Dodoma basi Warangi hawahusiki hapo. Dodoma mji ni ya wagogo. warangi Kondoa.Hahah, Kondoa ipo mkoa gani? Hahahah
[emoji23] mkuu hayo majungu sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo majiji ya Tanzania ni kama vyoo wakati yale ya wenzetu ni SebuleniUkitembelea nchi nyingine alafu ukirudi Bongo unaambiwa Tanga ni jiji, Arusha jiji, Dodoma jiji na Mbeya jiji unaweza kulia.
Ukimalizia Dar es salaam ambayo ukiwa angani iko kama Mogadishu.
Kweli ni majiji ya nchi za ulimwengu wa 3.
Kuna baa maarufu za 5 star kama vile Chako ni Chako mkuu ila hotel labda Dodoma hotel [emoji23]Hakuna stand ya mabasi.
Hakuna stand ya daladala.
Hakuna uwanja wa ndege.
Hakuna miundombinu ya maana.
Hakuna hata 5 star hotel hata moja.
Wenye mengine mtaongezea.
Yani ni sawa na wilayaAise ila imekuwa mapema sana kupewa hadhi ya jiji....
Dodoma bado ni ka mji kadogo sana sikatofoutishi na musoma....
Wacha dharau umeona upost kipicha kimoja tu!!
Dodoma inabadilika kwa kasi
Yani ni sawa na wilaya
Kuna baa maarufu za 5 star kama vile Chako ni Chako mkuu ila hotel labda Dodoma hotel [emoji23]
Umenifurahisha sana mkuu.Niko Dom!Ila Toka Imetangazwa Kuwa Jiji Sijaona Mabadiliko Sababu Nilipika Dagaa Mchana Na Usiku Ntakula Dagaa![emoji4][emoji4][emoji4]
Kondoa ipo wapi?sasa kwani Mkoa wote wa Dodoma ndo umetangazwa kuwa jiji? au ni Manispaa ya Dodoma ndo imetangazwa kuwa jiji? Kama niManispaa ya Dodoma basi Warangi hawahusiki hapo. Dodoma mji ni ya wagogo. warangi Kondoa.
Umenifurahisha sana mkuu.Niko Dom!Ila Toka Imetangazwa Kuwa Jiji Sijaona Mabadiliko Sababu Nilipika Dagaa Mchana Na Usiku Ntakula Dagaa![emoji4][emoji4][emoji4]