Mwisenge1993
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 900
- 573
Hii ni project ya mda mrefu sana JK ilimshindaMagufuli sio kiongoz kabisa anakigawanya chama vipandevipande...hakika ccm itamfia mikononi mwake!
Hii ni project ya mda mrefu sana JK ilimshindaMagufuli sio kiongoz kabisa anakigawanya chama vipandevipande...hakika ccm itamfia mikononi mwake!
Hizi bado ni tetesi:
Bashe Mbunge wa Nzega, Adam Malima na Joseph Kasheku wako ndani (Police Central, Dodoma).
Chanzo cha kushikiliwa kwao hakijajulikana
Bado kaka naliendeleza libenekeKumbe bado unalogg off
Si ndio vizuri kwa upande mwingine?Magufuli sio kiongoz kabisa anakigawanya chama vipandevipande...hakika ccm itamfia mikononi mwake!
"His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE".Tunakoelekea ni rwanda na uganda, trust me
Kuna tofauti... ambacho walikuwa wanafanya hapo kabla, nchi nyingi zinafanya! Hata Obama, hakusumbuliwa na ma-demokrat wenzake kugombea awamu ya pili! Hata hivyo, walikuwa ma-demokrat wengine walikuwa na haki ya kutafuta uteuzi pamoja na Obama!! Na ndivyo ilivyokuwa kwa CCM! Ingawaje ilikuwa ni utamaduni wao kumwacha rais aliye madarakani kugombea mara ya pili; lakini sheria haikukataza wengine kujitosa! Which means, kama rais aliye madarakani wangemuona hafai kwa hili wala lile; CCM wangekuwa na uwezo wa kumpitisha mwingine katika awamu ya pili!!Mimi namuunga mkono Magufuli kwa hili,maana wenyeviti walikuwa wanapita kwa mizengwe kuwa wagombea urais,walikuwa wànasema no utamaduni wa Rais aliyepo madarakani kuwa mgombea awamu was pili,sasa Leo cha hajabu mini Magufuli kuhalalisha haramu kuwa halali kikanuni/sheria?CCM acheni unafiki.
Hizi bado ni tetesi:
Bashe Mbunge wa Nzega, Adam Malima na Joseph Kasheku wako ndani (Police Central, Dodoma).
Chanzo cha kushikiliwa kwao hakijajulikana
Huyo hata akienda upinzani wakamsimamisha agombee ubunge saa 4 tu asubuhi anatangazwa mshindiHapo Bashe tayari amejivesha Kitanzi yy mwenyewe Msukuma anaweza kuvumiliwa but believe me Bashe kaingia kwenye mtego mbaya kisiasa.
Dah.... Kama Mwenyekiti alivyo kitaifisha kiti chakeHatuwezi KUINGILIA Demokrasia yao ya ndani ya CCM/ INTERNAL Democracy.
Kila chama na mipangilio yake.
Adam Malima si yule jamaa albino alikua kwenye tangazo la kupinga uuaji wa albino?Adam Malima??? ......lazima utakuwa na .....ya form six kama mwenyekiti.
Sophia Simba ni mzaramoNomaaa sana! Vidonda hivi havitapona 2020 aisee watu kama akina Sophia Simba bado ana nguvu kama akihama akagombea huko kwao kusini.
Dah.... Laana zote zimwangukie Mbowe kwa kuvuruga upinzani uloyojengwa kwa miaka zaidi 20 ...na kuifanya ccm kuwa na kiburihii habari ni msiba mkubwa wa demokrasia !