DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma mbaroni wakidaiwa kupanga kuhujumu vikao vya CCM

Huwa nashangaa sana mtu wa CCM kushupalia mambo ya ndani ya CDM au wa CDM kushupalia mambo ya ndani ya CCM.

Zima moto kwako achana na kwa jirani

Hizi bado ni tetesi:

Bashe Mbunge wa Nzega, Adam Malima na Joseph Kasheku wako ndani (Police Central, Dodoma).

Chanzo cha kushikiliwa kwao hakijajulikana
 
Hapendi kupingwa, hata kwenye ubunge jimboni kwake, imewahi kutokea hivyo kwenye chaguzi 2. Sidhani kama hawakuwepo wagombea wa kumpinga.
 
Jamaa anajaribu kutengeneza kikosi kazi kama cha yahaya jammeh, anachukua maswahiba wake anawapa uongozi jeshini, anachukua maswahiba wake anawapa uongozi polisi, anachukua maswahiba wake anawapa uwaziri, anachukua maswahiba wake anawapa ukuu wa mikoa, anachukua maswahiba wake anawapa hadi ubalozi wa nyumba kumi, lengo ni kutawala milele, huyu jamaa anao uchu wa madaraka sana, tusubiri tuone.
 
Inamifurahisha kuona watu wa vyama vingine wanatuletea habari za vyama vingine kama hizi. Inaonyesha upendo mkubwa ikiwa hata mtu akiwa chama kingine.
 
Mimi namuunga mkono Magufuli kwa hili,maana wenyeviti walikuwa wanapita kwa mizengwe kuwa wagombea urais,walikuwa wànasema no utamaduni wa Rais aliyepo madarakani kuwa mgombea awamu was pili,sasa Leo cha hajabu mini Magufuli kuhalalisha haramu kuwa halali kikanuni/sheria?CCM acheni unafiki.
Kuna tofauti... ambacho walikuwa wanafanya hapo kabla, nchi nyingi zinafanya! Hata Obama, hakusumbuliwa na ma-demokrat wenzake kugombea awamu ya pili! Hata hivyo, walikuwa ma-demokrat wengine walikuwa na haki ya kutafuta uteuzi pamoja na Obama!! Na ndivyo ilivyokuwa kwa CCM! Ingawaje ilikuwa ni utamaduni wao kumwacha rais aliye madarakani kugombea mara ya pili; lakini sheria haikukataza wengine kujitosa! Which means, kama rais aliye madarakani wangemuona hafai kwa hili wala lile; CCM wangekuwa na uwezo wa kumpitisha mwingine katika awamu ya pili!!

Lakini kwa sheria ya sasa kama ni kweli; rais aliye madarakani hata akiwa mbovu namna gani; bado ataachwa kugombea muhula wa pili bila kupingwa!
 
Hapo Bashe tayari amejivesha Kitanzi yy mwenyewe Msukuma anaweza kuvumiliwa but believe me Bashe kaingia kwenye mtego mbaya kisiasa.
Huyo hata akienda upinzani wakamsimamisha agombee ubunge saa 4 tu asubuhi anatangazwa mshindi
 
Naapa na kwa ujasiri mkuu, Hakyamungu hili ni anguko la Fisiemu, wallah vile, acha movie iendelee
 
Back
Top Bottom