Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

Pole kwa wafiwa
Marehemu wapumzike kwa amani
 
ila bado najiuliza....inakuwaje mtu wa siti ya nyuma anakufa lakini wa mbele yake kavunjika vidole huku toyota sequoia inaonekana imeisha kabisa upande wa mbele.
 
ila bado najiuliza....inakuwaje mtu wa siti ya nyuma anakufa lakini wa mbele yake kavunjika vidole huku toyota sequoia inaonekana imeisha kabisa upande wa mbele.
Usitumie makalio kufikiri,wengi wanaokaa nyuma huwa hawafungi mikanda.
 
ila bado najiuliza....inakuwaje mtu wa siti ya nyuma anakufa lakini wa mbele yake kavunjika vidole huku toyota sequoia inaonekana imeisha kabisa upande wa mbele.
Ulishawahi kusoma physics!!?
 
Hapana.....embu tiririka mwanawane.
Space,time, energy and force......
nikifunguka ni topic nzima hapa....
lkn swali lako ni zuri sana .....
kwanini mtu wa siti ya nyuma amefariki ...
na sio mtu wa siti ya mbele...
 
Mwaka wa siasa umeanza tayari, ajari zitakuwa nyingi Sana. Kafala kafala kafala kafala kafala kafala kafala kafala
 
Ajali ni nyingi Dodoma siku hizi.
Barabara ya Dodoma Morogoro wakati wa usiku mkubwa ni hatari sana,kwa madereva wanaosafiri njia ile watakuwa wananielewa,kwanza kuna sehemu kubwa sana haina michoro ya mistari,katikati wala pembeni,njia imezama sehemu nyingi sana,pia kuna vishimo vya kustukiza (pot holes) nyingi na madereva wa mabasi au malori wengi wao huwa wanawasha full light ambapo hata ukiwasha zako ili kuwastua huwa hawajali,kama huamini tokea Morogoro usiku mida ya saa 4 kuelekea Dodoma halafu ulete mrejesho...
 
Itakuwa ndo tatizo lilipo.
 
Pumzika kwa amani kaka Maiga. Wana Mzumbe watakukumbuka enzi ulivyokuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi.

Nakwende kwani umemaliza na Maiga pale Mzumbe? 2013 kama sikosei
 
Poleni sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…