Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

R.I.P

Ila magari ya serikali/yaliyobeba wakubwa huwa yanakimbia sana, tena bila kufuata sheria na utaratibu, unakuta kwenye kibao cha 50kms mtu anapita na 120km.

Sasa hapo mtu unabaki unajiuliza


Wapuuzi sana hawa wanawasha taa tu halafu anataka kuwasingizia Marehem. Kweli marehem hana haki..... yaan nimesikiliza maelezo ya huyo dereva nikajaribu kuwaza na uendeshaji wao nikasikitika tu.

Itakua hata kutoa kidogo kupisha basi hakutaka au alishindwa kutokana na mambio
 
kweli marehemu hana haki, lawama zimeenda kwa dereva wa basi wakati wao wanajisahau kwamba wana ruka na 120kph kwenye vibao vya 50kph wakidhani wana miili ya chuma ?, pumbav zao

anyway wapumzike pahala panapostahiki
 
Kufa kufaana"""

Wapi ndugu yangu paschal mayala

R"" I P....Walofariki kutokana na ajal!.
 
Pumzika kwa amani kaka Maiga. Wana Mzumbe watakukumbuka enzi ulivyokuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi.
 
Hii gari inaonyesha ni Landrover discovery 3 or 4 automatic alikutana na kitu lazima maana rim na tairi bado nzima
Mkuu hizo gari ulizotaj hapo ni left handers??.

Maana kwa maelezo ya dereva hapo mbunge ambaye ni boss alikaa upande wa kulia pamoja na marehemu.
 
Huyo das wa handeni ndio yule alikuwa anahokiwa clouds 360 juzijuzi?
 
Aiseee yule das aliongea vizuri sana clouds hili ni pigo
 
Bora kafa na afe tu na huyo aliyewekwa hapo general hospital jifanyeni mko weekend. Wajinga sana. Manina wakufe tu ccm manina zao
 
Dah Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi. Alikuwa rafiki yangu sana na alikuwa na haiba ya uongozi[emoji22][emoji26]
 
R.I.P.
Dereva kaponaje katika hali hiyo? Ni muujiza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…