Doctors Vs Engineers

Doctors Vs Engineers

Pumba mama yako aliyekuzaa punga were if you know nothing about what I said you better shut the **** up!
Hivi nawee ni Great Thinker Inabid ufungiwe mazima jf haya matusi ni ya fb huko.. Mods mpigeni Ban huyu small Thinker duu. Jf sio fb humu Kuna rika tofaut mpaka 60yrs wapo daaaada kizazi kinakwisha..
 
We kilaazaa wacha kumpangia vitu vyakufanya mtu kama worldboss maana yeye haulingani nae kwa lolote hata kwa dhambi nimekuzidi wewe ni zero brain ..MPUUZI wa MWISHO WEWE!!!!!
Hivi we si ndo yule mpuuzi unayejiita mwanafunzi wa Harvard. Kenge mkubwa weweeeeee au unadhani tumekusahau eti linajiita ( Worldboss).Worldboss your mother's asses you son of a whorl!
 
Ninafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari

Udaktari ni practicle tu.
Engineering ndio ulimwengu.
Engineer ni lazima awe na akili ya ziada.
Engineer ni lazima awe mbunifu pia. Akili ya Engineer ni lazima iwe na wepesi wa kuoanisha kitu.
Hivi unaweza ukamjaji kwa kiwango kipi Engineer anayebuni na kudesign chombo cha kwenda anga za juu. Kwanza anadesign chombo ambacho ni kikubwa na kinachohitaji matrilion ya pesa na ambacho kikikosewa kidogo kinaleta hasara kubwa sana na madhara makubwa sana.

Sasa mtu unaposema kuwa Daktari anatakiwa awe smart zaidi ya Engeener unashindwa kugundua kuwa Engineer akikosea mfano kwenye Kipuri cha Nyuklia madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii kwa wakati mmoja.
Hata mitambo wanayotumia madktari kama MRI ,CT scan n.k. ikikosewa na maengineer walioidesign haiwezi kutoa vipimo sahihi.

Daktari atageuka kuwa mganga wa kienyeji endapo tu atakatazwa au ataacha kutumia vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na maengineer.

Bila kuwa na maEngineer duniani hata fani ya udaktari itarudi kama enzi za mababu mana haitakua na vifaa vya kisasa ,mazingira ya kisasa na maisha ya kisasa ambavyo ni kazi ya maengineer katika ulimwengu huu.

Engineer ni habari nyingine kabisa usiiangalie juu juu kwa sababu tu ya kuona kuwa asubuhi ukiugua unakimbilia kwa daktari bila kujua hata hiyo panadol inatengenezwa kiwandani ambapo kazi ya maEngineer imelala. Themometa ya kupima joto la mwili ni kazi ya engineer.

Kwenye maisha ya kawaida tu basi ni ukweli kabisa kuwa Daktari ni muhimu zaidi kwenye kuifikia na kuihudumia jamii kwa kuwa wanadili na mtu mmoja mmoja binafsi moja kwa moja.
Lakini Engineer ni ishu nyingine ya kiujumla na kimaendeleo ya mwanadamu ili awe tofauti na viumbe wengine na aweze kuyabadili mazingira kuwa bora na rahisi zaidi na kusaidia fani nyingine zitimize majukumu yake kwa wepesi ,kwa uhakika na haraka zaidi.
Kwa kifupi naongezea....

Mungu aliumba Dunia na baadhi ya vitu/vifaa alafu akamuachia ENGINEER kumalizia, kuendeleza na kumodernise.....


Alafu tofauti kubwa kati ya Engineer na Doctor

Ni kuwa Doctor akikosea na kuharibu kosa lake linazikwa na kila mtu anasahahu. Ila Engineer akifanya kosa kidogo failure yake itakuwa open kwa public na kila mtu ataona na kucriticise atakavyo hata kama hana ABC ya kitu husika. Mfano kitu kama ndege iliyobeba mamia ya abiria ifel kwa sbb ya engineering mistake utajua..... Au fikiria fairure ya daraja la Nyerere utajua tu......


.....Sio tu kwamba nani anatakiwa kuwa smart zaidi .....ila nani ni smart zaidi.
 
Hivi we si ndo yule mpuuzi unayejiita mwanafunzi wa Harvard. Kenge mkubwa weweeeeee au unadhani tumekusahau eti linajiita ( Worldboss).Worldboss your mother's asses you son of a whorl!
We unakazwa nini? Sio najiita mimi ni worldboss au haujui kama mimi ndo namsukuma mavi reverse dingi yako .
 
We unakazwa nini? Sio najiita mimi ni worldboss au haujui kama mimi ndo namsukuma mavi reverse dingi yako .
Mama yako ndo ana kazwa .naona una hamu ya kuliwa kiboga usiwe unaingilia comments zisizokuhusu malaya uliyekubuhu wewe
 
Kuna Doctor wa kienyeji ila hakuna Engineer wa kienyeji.. Engineering is smarter.. [HASHTAG]#MiningEngineer[/HASHTAG] hapa
 
Kuna Doctor wa kienyeji ila hakuna Engineer wa kienyeji.. Engineering is smarter.. [HASHTAG]#MiningEngineer[/HASHTAG] hapa
Wahunzi ni Kundi gani mkuu, kuna wajenzi wangapi hawajaenda shule ila ni very creative. Fikiria vizuri au ni hiyo title ya '' engineer '' inakusumbua kama ni hivo hata Clinical officer mwenyewe ni makosa kumpa title ya daktari sembuse mganga wa kienyeji. Huu uzi umejaa ujinga tu ngoja niachane nao kwani tunafanya mambo ya kitoto
 
Jamii forum is the platform of great thinkers and intellectuals to share ideas and experience but all over suddenly for sad there is the horribly intrusion of poorly thinkers and trashes like World boss .there is necessity of this site to have carefully analysis of who joins in
 
Jamii forum is the platform of great thinkers and intellectuals to share ideas and experience but all over suddenly for sad there is the horribly intrusion of poorly thinkers and trashes like World boss .there is necessity of this site to have carefully analysis of who joins in
Shut the fu..ck up!! Ku.mama.mama.ko
 
Back
Top Bottom