Doctors Vs Engineers

Doctors Vs Engineers

Vyote vya muhimu., je hujui kuwa through hizo interventions Uhai na Afya can be monitored? Mgonjwa analazwa wodini, mgonjwa atahitaji vipimo kujua kama kuna internal bleeding or any ugonjwa ndani (MR-I, CT-Scan, X-ray), Mgonjwa atahitaji kuchomwa sindano and lots of things. Unafikiri hivyo vyote vimeletwa na BS?? We do respects u docs, but making yourself special over others sio kabisa. Just tunategemeana with engineering being ahead of you a bit.
Owk kwahiyo unataka kuniambia kabla hivyo vitu havijagunduliwa wagonjwa walikua hawaponi au? Alafu madaktari wana apply Biology, Physics na Chemistry kwenye kutoa huduma kumbuka hilo??

Alafu hujajibu swali langu, Utawezaje kufanya hizo invention kama haupo njema intermas of Health? Ni jibu
 
Na utamtibuje mtu bila kujua anaumwa nini?? siku hizi complications na magonjwa mengi. Lazima utahitaji vifaa vilivyokuwa invented na engineer. Ndio maana nikasema engineers na doctors tunategemeana, ni sawa na Kuku na yai.
 
Engineer anatakiwa awe mwepesi wa kufikiri, kufanya maamuzi makini sana.
Hufanya kazi kwa kufuata principles na akili ya ziada hutumika sana
engineer sehemu yoyote Ndo anaanza na watu wengine hufata
Mfano, waulize surveyor wanapo pita pori nene na kna wanyama wakali na bdae brudoza Ndo hufata.
Wahandisi chini ya migodi
Na baharini Na ujenzi wa mabawa kama akili sio nzuri utakufa na pressure tu
Doctor hufata principles tu haongezei ktu cha ziada.
rejea worldwide mega structure uone kazi ya uhandisi.
Viva engineer-viva engineer!
Anyway Ngoja nikuache Ila at least umetambua Umuhimu wa UBONGO kwenye masuala yako
 
Zote ni ngumu, na zenye kuhitaji umakini wa wahusika. Nitofautiane kidogo na wanaosema vifaa vya matibabu vimebuniwa na wahandisi, nina imani bila ya msaada wa matabibu, kukaa na wahandisi kuwaambia wanataka kifaa fulani kiwasaidie kufanya shughuli kadhaa za kitabibu na kutoa mwongozo wa vipimo, mwonekano vyake n.k. wahandisi wasingeweza kuwa na wazo na msaada wowote katika matibabu.
 
Swali very simple, huyo engineer anaweza kufanya yote hayo kama hayupo njema kiafya mfano ana matatizo ya ubongo?

Alafu kipi cha muhimu kwa uhai, Afya au hizo intervention za ki engineer?
madawa wa kienyeji yapo kibao tuu yatamponyesha tu...tiba asilia
 
Alafu ma engineer wa kibongo njaa nyingi sana, ndo maana wengi wao wanaishia kufundisha twisheni au shule......na pia hata serikali inawaamini sana ma-engineer wa nje kama wachina alafu nyie wazawa na degree zenu mnakua vibarua kwa hawa foreigners
ww bado sana ujaelewa system ya nchi hi ili engeneeer wa bongo apewe kazi tenda na serikali let say tena kubwa kubwa izi big project engineer wa kibongo awezi pesa sababu wengi wao awana capital mana ili serikali ikupe tenda wanakupa tenda wakiangalia una capital kiasi gani sasa kama una capital ndogo uwezi pewa tenda wanapewa watu wa njee coz serikali hailipi cash uwa wanakukopa ww engineeer uwafanyie kazi kwa pesa yako zen watakulipa kidogo kidogo ndo iko ivyo na c kwamba ma engeneers wa kibongo awana viwango c kweli....
 
ww bado sana ujaelewa system ya nchi hi ili engeneeer wa bongo apewe kazi tenda na serikali let say tena kubwa kubwa izi big project engeneer wa kibongo awezi pesa sababu wengi wao awana capital mana ili serikali ikupe tenda wanakupa tenda wakiangalia una capital kiasi gani sasa kama una capital ndogo uwezi pewa tenda wanapewa watu wa njee coz serikali hailipi cash uwa wsnakukopa ww engeneeer uwafanyie kazi kwa pesa yako zen watakulipa kidogo kidogo ndo iko ivyo na c kwamba ma engeneers wa kibongo awana viwango c kweli....
Engineer
Engineer
Engineer
 
Anyway Ngoja nikuache Ila at least umetambua Umuhimu wa UBONGO kwenye masuala yako
Nmekuelewa mkuu lkn kpindi niko form two Kuna vimaneno vilitumika sana, navyo ni"other physical quantities remain costant"
.........proud to be engineer..........
 
wasalam,
jaman sio dharau au majivuno wala mashindano, akini kwa upande wangu ninaona ipo ivi, kwenye professoinal mbili doctors na engineers zote zinaitaji concetration ya maana kama unasoma.

lakin kusema ukweli kabisa doctor atakiwa awe smart sana kuliko engineer na ni professional ngumu sana kuliko engineering, najua engineers wanajitetea na mathematics & phyisics kuwa ndio mambo magumu sana kweli masomo hayo magumu lakin kwenye swala la umakini na u smart wote anapewa doctor.

engineers wote nawaheshimu sana, lakin nimekuja kugundua cozi sio nondo kama doctor. nina mengi yakuongezea lakin inatoshaa kwa leo.

mwenye husuda, dukuku,maoni,povu... hayaaa!
Madoctor wenyewe wanategemea vifaa kutoka kwa maengneer
 
Owk kwahiyo unataka kuniambia kabla hivyo vitu havijagunduliwa wagonjwa walikua hawaponi au? Alafu madaktari wana apply Biology, Physics na Chemistry kwenye kutoa huduma kumbuka hilo??

Alafu hujajibu swali langu, Utawezaje kufanya hizo invention kama haupo njema intermas of Health? Ni jibu
Ukitaka kujua engineer ni shidaa ni pale uendapo hospital.vipimo vina gharamakubwa kuliko dawa. Vifaa tiba vinaghalama kubwa sana
 
Zote ni ngumu, na zenye kuhitaji umakini wa wahusika. Nitofautiane kidogo na wanaosema vifaa vya matibabu vimebuniwa na wahandisi, nina imani bila ya msaada wa matabibu, kukaa na wahandisi kuwaambia wanataka kifaa fulani kiwasaidie kufanya shughuli kadhaa za kitabibu na kutoa mwongozo wa vipimo, mwonekano vyake n.k. wahandisi wasingeweza kuwa na wazo na msaada wowote katika matibabu.
Mwandisi hafanyi kazi ya ubunifu kwa kuelekezwa na mtu anayehitaji. Yeye kazi yakeni kutatua matatizo ya watu. Mfano mama Lishe anafungua mgahawa sehemu kutokana na kuona mahitaji ya watu waliopo pale lazima wale. Hvyo hvyo engineer ndivyo afanyavyo .
 
Mhandisi atajua aje ukubwa wa mkasi unaotosha kuingia ndani ya tumbo wakati wa upasuaji? Mipira ya kumwuongezea binadamu damu au maji, unafikiri mhandisi aliibuni ukubwa wake, na kiasi kinachotakiwa kuingia mwilini kwa dakika bila ya ushauri wa tabibu anayejua mishipa husika ya mwili.
 
Back
Top Bottom