Natafuta Doctor specialist wa Macho naomba msaada. Kuna mtoto wangu amekuwa affected jicho lake la reflection ya mwanga mkali wa projector. Je atumie dawa gani?
nashukuru sana kwa ushauri mkuumshkaji mtoto huyo anahitaji kwenda hospitali achunguzwe extent ya damage kwenye jicho lake hilo na apewe matibabu husika..huyo si wa kumuulizia atumie dawa gani kwenye mitandao ya kijamii! Ccbrt ni pazuri zaidi kama ulivyoshauriwa hapo juu.