Doctor wa humu msaada wa haraka unahitajika

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Wapendwa habarini za asubuhi jana arufajiri niliamka kuwahi shamba nikiwa njiani alitokea mdudu na kuniuma mdomo wa juu mdomo ukaanza kuvimba. nilivumilia uvimbe nikijua utaisha, mdaulivyokuwa ukisonga ndinvyo na uvombe ulivyokuwa unaongezeka. ni.eamka asububi hii naona hata uso nao umevimba nafanana kama nyani naombeni msaada njia ya kumaliza uvimbe sinamaumivu yoyote ninayo yasikia asanteni.
 
Nenda hospitali wewe.

nikoshambani mbari na mji kamaunajua dawa niandikie nikanunue. kunakijiduka hapa nimeshindwa kwenda kununua muuzaji hana uelewa mzuri. anauzatu kwaakuwa ni kijijini.
 
Mura nenda hospitali mapema, wadudu wa shambani sio wa kufanya nao mchezo aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom