GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 220
Hi! wanajf ,Tupeane maujuzi ya hizi kozi kwa upande wa fursa za ajira serikalini,kujiajiri na mshahara serikalini.Mfano daktari anayeanza serikalini (MD)huanza na mshahara wa 1.2mil je na Huyu wa Bachelor of veterinary medicine inakuaje? na fursa zikoje kwa kila kozi? Je kozi ipi inahitaji kujipanga sana ili uisome vizuri?