doctor na mgonjwa wake...

One Man Army

JF-Expert Member
Dec 27, 2011
236
34
daktari wa vichaa alikuwa akiwapima wagonjwa wake kama kunaliyepata nafuu.alikuwa akiwatuma vitu mbalimbali wengi walikosea ila mmoja alileta kwa ufasaha kila alichoagizwa,siku moja ikafika ilikuwa ni tarehe 10 mwezi fulani hv basi doctor akamtuma mgojwa wake gazeti alipofika sehemu yakuuzia magazeti alikosa gazeti la tarehe 10 ndipo jamaa akaamua kununua ya tarehe 5 mawili....
 
Back
Top Bottom