hivi hakuna vitu natural m2 anaweza fanya akaongeza ukubwa wa makalio?
Whether naturally or artificial hivi what's wrong with hayo uliyonayo hayakutoshi....hivi hakuna vitu natural m2 anaweza fanya akaongeza ukubwa wa makalio?
Wote wagonjwa, mmoja yupo ICU na mwingine yupo wodi za kawaida, anayekubali ndie yupo ICU...lol.Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu
Hawajiamini asee...nna hakika mtu akijiamini ataridhika na kila alichonacho...Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
Wengi huwa wanatusingizia wanaume kuwa eti ndo tunavyotaka! Kwani wasingekuwepo wa hivyo wanaume wangetaka nini?Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
Kuna wanaume na akili zao wanawapa wake/ wapenzi wao pesa kwaajili ya kununua hayo makitu. Hamsingiziwi, kama wewe hujafika huko mshukuru mungu wako...Wengi huwa wanatusingizia wanaume kuwa eti ndo tunavyotaka! Kwani wasingekuwepo wa hivyo wanaume wangetaka nini?
Dah!!! Mambo mengine sio ya kucheka ila imenibidi kucheka...hivi kwanini watu hawaridhiki na maumbo waliyonayo
Nyie mnaridhika na 'tulivyo navyo?'...lolWhether naturally or artificial hivi what's wrong with hayo uliyonayo hayakutoshi....
Hapo sasa.Nyie mnaridhika na 'tulivyo navyo?'...lol
Hawajiamini asee...nna hakika mtu akijiamini ataridhika na kila alichonacho...
Afu na nyie wanaume mnachangia kwa asilimia nyingi manake mkiona wenye makalio mimacho mwaikodoa kodo, sasa wenzi wenu wafanyeje jamani, zaidi ya kwenda kujipeleka wakajaziwe cement mwilini?
Hawajiamini asee...nna hakika mtu akijiamini ataridhika na kila alichonacho...
Afu na nyie wanaume mnachangia kwa asilimia nyingi manake mkiona wenye makalio mimacho mwaikodoa kodo, sasa wenzi wenu wafanyeje jamani, zaidi ya kwenda kujipeleka wakajaziwe cement mwilini?
Hahaha! Mke mwenza ujue mie bado nakupenda sana, kweli sitaki kukupoteza bana, sikushauri unywe cement lol. Hivi una habari kuna siku baadhi ya watu watageuka matofali ya kujengea nyumba?sasa hii sijui tuite plasta ama chuping? hehehe! hivi cement inafaa kwa manyonyo pia,nataka nikaongezee
Hilo fumbo sasa ndugu yangu, hebu nifafanulie japo kidogo, tuwajibike idara ipi? Tukiwajibika hayo mahips na makalio yatajitengeneza bila kuwekewa zege?Acheni kusingizia wanaume. Wajibikeni!