why you saying that .??
Nilipoiona hii habari nilicheka sana.
'Doctor' mwenyewe cement yake imekaa upande! Ha ha ha
duhhhh
utabalance vipi cement mamito.??
sijui ndo plastic zimeisha...
Halafu ni mwanaume huyo..anaitwa Oneal Ron Harris.
Ndio nilizidi kukata mbavu....ha ha ha
Yaani mtu ukautae 'uzuri' mpaka utoke fahamu ya kupima cha kufanya na kufanyiwa!
Huyo mgonjwa akishatibiwa booty aizamwe na maradhi ya kisaikolojia

Body Image Disturbance ni mental illness.
Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu
Wehu wako wengi tu mwalimu, na hawajitambui. Kwani hawa wana tofauti na watumia mkorogo, bikira za kichina na makalio ya kupakaza dawa? Uwezo tu unawatofautisha!