.doc format filles turn into .exe

kkenzki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
1,503
Reaction score
2,514
Jamani nahitaji msaada wenu,, Kila nkiweka docs kwenye flash drive zangu zinabadirika format kutoka doc format- exe format Na hazifunguki tena Kwa Microsoft word alaf document nyingine ckua Na backup zake.. swali
1. Je tatizo ni virus ama ni flash drive
2. Naweza kuzirepair doc zangu?
 
That's virus infection, scan your drives with antivirus software
 
Nenda kwenye folder options iliyopo kwenye control panel, then go to View types, chagua show hidden files, untick chini yake option ya operating system ambayo ina mabano yalioandikwa (recommende) then select apply na utaziona kazi zako zilizopo kwenye flash.
 
kuziona naziona ila tatizo zimebadirika format from .doc to .exe na haziwez funguka na m.word tena..kama vile zinacorrupt ivi
 
Vipi umeshapata ufumbuzi wa tatizo lako? Kama bado nijulishe nikupe njia yakufanya 100% itamaliza tatizo lako...., ukiwa unareply quote hii comment ili niwe notified niweze kureply haraka
 
tumia winrar kufungua, utaona zenye .exe na zenye .doc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…