Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you see that white thing? Mix culture

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 12, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,808
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Ukimsogelea kumuibia hiyo simu yake atakutwanga Risasi hapa ninahisi ni Sudan ya kusini Mbuzi Mzee
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  na hiyo alomeza ni CD au Santuri?
   
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ipod ya mchina
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  halafu kuna binaadamu wengine ashakum si matusi wangeumbwa wanyama ingependeza zaidi,sasa hayo ni mapambo gani sasa.mtu mapka anaonekana kama dudu fulani hivi.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,837
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kweli technological revolution imemuingia kwenye mziki tu
   
 7. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni mila za kishenzi na kishetani, yote hiyo juu ya nini????
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kweli huyu ndio amepatia cultural globalisation!
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Anadumisha mila ile watu wengine walishindwa!
   
 10. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Basi huko kwao huyu ni mrembo sana kama walivyo mabinti wa Hashim Lundenga huku kwetu
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tusimcheke ni mila aliyoikuta watapunguwa na wakati ingawa ningependa waendelee kuudumisha utamaduni wao.

  Hapa Tanzania wengi wanatoboa masikio na kuweka vitu vizito, wengine wanajitia chanjo mwili mzima. wengine wanang'olewa meno, wengine wanapigwa sumni za usoni, wengine wanachonga meno.
   
Loading...