Enzi hizo za Empire, Empress, Avalon, Chox, Odeon, Cameo, Drive-in na mwishoni Star right cinema.
Hapo picha ikiwa nzuri aidha huwe na ubavu wa kugombania tiketi au ukubali kulanguliwa.
Vile vile Unaweza fika dirishani ukasikia tikiti zimeisha au wajanja washaramba pesa yako ya tiketi.