Habari za kutwa wana jamii, nimatumaini yangu kuwa mpo salama na wale wenye shida mbalimbali nawaombea kwa maulana awape wepesi! Nirudi kwenye mada ni kuwa:-
Nimekuwa nikisikia kuna dhana kuhusu Marekani Kwamba ile kauli mbiu (Motto) ya taifa lao isemayo "IN GOD WE TRUST" mimi huwa najua wanaamaanisha "TUNAAMINI KATIKA MUNGU" sasa leo nimekutana na mdau katika story za hapa na pale akasema wao hawamaanishi hivyo bali neno " GOD " kwao linasimama ifuatavyo:-
G - Gold
O - Oil
D - Diamond
Je, hii ni kweli!? Natumaini kupata majibu ya kuridhisha katika jukwaa hili maana penye wengi pana mengi pia. Assanteni.