The Tourist....
Basi tu pale Deep alivyokuwa hajielewielewi kwa yule mrembo na kujikuta kapewa mambo hahahahaha
poa ntaziona hzo zako tukianza pilika za vikao vya harusi ya moja kati ya wale mawifi zako!
Waasisi wanajulikana...usijifanye hujui.Pole, umenyanyasika eh? Namtafuta aliyeasisi huo msemo, amenijeruhi!
Imelazimika kujisifia. kwakweli nmeosha,
Ni mtamu ulojo, unaugwadugwadu flani hivi, mara ya kwanza nlkula uswazi bongo ila wa huku upo poa zaidi, sasa haunishibishi lol
Ruksa nini sasa,mbona unanijibu kwa ufupi hivyo,nieleweshe nielewe,nichukue hatua....please....lol
Ad....Nadhani mie nina ugonjwa wa kutoridhika.every thing i achieve naona bado kabisa hata kama kuna wengine wanaona nimefanikiwa.Lakn kuna vitu navitaka labda nikivipata hivo hata ntakuwa na moyo wa shukrani kwa Mungu na kuwa na guts za kurudi katika hii sredi.Otherwise Hongeren wote mlioweza!
btw mbona yako sijaona????
Joune sijagongana nawe siku nyingi Pal.... How have you been?
My best feature, Ni Lips..... I love my Lips....
very interesting
resources gani??
Waasisi wanajulikana...usijifanye hujui.
Ehehee si mpaka ninyanyasike.
Mmmhhh kama hushibi waambie wakuongezee alafu wakuwekee na maandazi.
Trouble in paradise...mbona mchokozi hivyo Kongosho??
Do you have to remind me of him whenever am about to make a new beginning???
I like your new avatar......:A S-coffee:
ruksa now to brag...
no more kulalamika sikutendei haki
now its your world ......
nakusalimu tu
simaanishi any trouble
just enjoy your ride
Baaas wewe ni strive mke mwenza.....lol... Hongera, ina maana hata uki achieve highest kwako bado unaona bado (whic is good for ultimost succes..... Ya kwangu mbona nimepost dear.... Check hii hapa chini...
Yaaani wewe.....lol... Hilo file labda umanufacture mwenyewe....lol
Forest and a bit of wildlife.
In real life i think you are very stubborn The Boss....ahem....lol....ngoja nisubiri kidogo,manake Kongosho nimemuona hapa karibu,asije nitafuna.....but am so so happy, at last i see a brighter future.....lol
I thought mineral resourcesForest and a bit of wildlife.
Thank you...How can I dissapoint such a distinguished lady?...Just wait and see.
I thought mineral resources