Napenda tu ule ujuzi wa kugundua ni vitu gani viliendelea on the surface of the earth and underneath it millions years ago...
alafu napenda sana maisha ya field, tented camp, beers after hard days etc. lol
Nafanya kazi very close to geologists hata hivo. lol
kwa nini unamruhusu mwali akaguliwe na babu?habari salama kabisa..... Unasemeje kijana?
Ha ha, ila roho inauma
anyway, ngoja maida waje wabebe mizigo yako
Ndio umeenda hivo? dah!
Kweli mchawi wake ana nguvu!
Hahahaha, mbona ni kawaida ya maisha ya camp zote? any camp would do the same...hope wanaenjoy
ni raha kujua nini kilitokea au kinatokea
mie huwa nasoma mwenyewe for fun
watch out
naskia wanapenda jirusha?
Mind explaining one of the stories to me.... would give me an insight on if we see it the same way.....
Vya uchawi nilikua natania tu, sababu wengine waliimba mashahiri siku kadhaa hawakuweza, huyu kajinyakulia ushindi bila kutoka jasho. lolI hope you are happy for me.....??
Kama ni mchawi basi uwe na hakika nitarejea siku si nyingi....lol
Ivuga mi nilikataa kata kata! sikaguliwi na Babu. Kasema ataweka baraza la familia kuongea haya maneno na mimi kwa hili nimesema sawa. Sikaguliwi ng'o!!!:A S-frusty:kwa nini unamruhusu mwali akaguliwe na babu?
kama vile nakuona live.mzima lakini AFro Ddown to earth , Rough, ...
Nilikuwa na ndoto kubwa kubwa kupita kiasi..
Na ndoto zangu si ndoto tena ni reality sasa.
Ninaamini kufanya jambo kuliko kuongelea tu ..
Namshukuru Mungu kwa kila kitu maishani mwangu.
Physical appearance..
Binafsi Napenda nilivyo "everything"
kuanzia rangi yangu yangu ya ngozi ,
maumbile yangu, mwana michezo
so i'm not worried about "weight" .
very independent person .. ..🙂
P.S Lizzy napenda miguu yako zaidi teh teh teh teh lol..😛oa
kama vile nakuona live.mzima lakini AFro D
mi mzima sana tu..ndio najaribu kumuweka mwali sawa hapa.Mi mzima kabisa Saint I ...
Vipi waendeleje?? na umejitayarisha vipi na hii Valentine lolz
mi mzima sana tu..ndio najaribu kumuweka mwali sawa hapa.
halafu kweli umenikumbusha kitu kizuri kweli..lazima nikutafute.inapendeza kwa kweli..
ukiaanza kutafuta zawadi ...
niko hapa kukusaidia lolz 😛oa..
it's Valentine Dress to impress hahaha
Kwa hiyo bila Afrodenzi kukukumbusha ulikua umesahau kuna mambo ya valentine yanakuja?halafu kweli umenikumbusha kitu kizuri kweli..lazima nikutafute.
halafu kweli umenikumbusha kitu kizuri kweli..lazima nikutafute.
Kwa hiyo bila Afrodenzi kukukumbusha ulikua umesahau kuna mambo ya valentine yanakuja?
@Afrodenzi: Thank you dear ...
@ Ivuga: una kesi tayari. Mambo yako yamerudi hatua tatu nyuma!
hujaelewa..pitia profile ya AD ni mtaalamu wa kudesign maua na zawadi mbali mbali jamani.Kwa hiyo bila Afrodenzi kukukumbusha ulikua umesahau kuna mambo ya valentine yanakuja?
@Afrodenzi: Thank you dear ...
@ Ivuga: una kesi tayari. Mambo yako yamerudi hatua tatu nyuma!