Kwangu mimi you are a VERY SUPPORTIVE person, na UNASIKILIZA WATU zaidi kuliko kuongea, na bila kuwajudge... Kwa hilo unaweza kujivunia! Mengine ataongeza Anti mwenyewe.Aisee...Mwali hebu help me identify what I personally really need to brag of? LOL
(Shangazi hadi leo hajaweza kuniambia madai yake nitavimba kichwa lol)
Mwali,
Mbona unatutamanisha na hiyo kitu hapo? na hiki kibaridi baridi dah
Hiyo ni prescription ya Uncle bwana, hakuna kuruka dose.Mwali,
Mbona unatutamanisha na hiyo kitu hapo? na hiki kibaridi baridi dah
subiri ban inakuja sasa hivi!!!!!!!!!!!!
Kwani umekwenda wapi? ukirudi usisahau kututaarifu habari za utokako.Dah!! Nitaingia baadae kuona "brag" ya nani inavutia/furahisha/chekesha na kosha..... Thank you for bragging guys, hope you keep on bragging once in a while......
ntakugongea LIKE basi
usiripoti kwa naniliyu
si unajua mie na weye ni kama mgonjwa na mgomo wa madaktari?
Mi nimependa ya WoS... 😛oaDah!! Nitaingia baadae kuona "brag" ya nani inavutia/furahisha/chekesha na kosha..... Thank you for bragging guys, hope you keep on bragging once in a while......
Mkuu, hapo kweli unaweza kutamani ila sasa it is only for me...and I brag of my niece Mwali. Yes, rightly so. Thank you Mwali
Hiyo ni prescription ya Uncle bwana, hakuna kuruka dose.
KAizer,
Sasa kama Doc amesema na mimi nitumie hii kitu inakuwaje? naweka order binafsi??? eeeh
Dah!! Nitaingia baadae kuona "brag" ya nani inavutia/furahisha/chekesha na kosha..... Thank you for bragging guys, hope you keep on bragging once in a while......
Hiyo ni prescription ya Uncle bwana, hakuna kuruka dose.
Kwani umekwenda wapi? ukirudi usisahau kututaarifu habari za utokako.
Duh! Kama uncle tu anahudumiwa hivi itabidi nikumchukue jumla tu nijue moja!!!!
iSweetie nadhani mine should come first...no matter what...it is the best LOL (OMG is this bragging too?)
Sasa PM zikijaa usilalamike kwa Invisible! Kauli nzito sana hiyo
Babu, unfortunately my scale isnt everybody's so worry not.
Kaizer,
Wewe sasa si upo na Professor hapo Ashadii! huyu intern Mwali niachie ahamie kwangu, I need to nurture her to become just as good as auntie hapo. Maana akifanya mafunzo bila vitendo kazi buree , bora aje hapa kwa majaribio.
Hiyo prescription i hope ni ya "over-the-counter" nikijihisi maumivu kama yako natumia.
Hahaha...Hapo kwa Prof.Sweetie AshaDii....ndo kwa vitendo kabisa nadhani usubiri kidogo amalize na kupata cheti akija kwako....hakuna kuremba lol
halafu for this prescription, ni hadi kwa maelekezo Dr....in this case Mwali..huwezi kuipata over the counter ...