Do you have a little time for me?

Hahahaha! Mie tu umenisimulia naona aibu kwa niaba yako, Lol

Napiga picha hapa haitoki.... Hapa aje tu wifi King'asti aniambie yeye angefanya nini. Maana dunia inakoenda.. mmmh!
yaani we acha tu, ila ndo life, kila mtu anajichagulia yake.
 
ha haaaa, I wish.........
ila sasa ujue siku ya kesho inakuwaga zaidi kwa waigizaji kuliko wapendanao?
kuna mtu anaweza akashinda na mtu kutwa nzima kumbe moyo wake uko kwingine..... wewe unadhani napendwa kweli kumbe mwenzako kila akikuangalia anamu-imagine mwingine, lol!
 


Lolest! Huo upande wa pili wa shillingi... Will be back hahaha! Asante.
 
Lucky you dear. Mi sina mpenzi, so valentine ni siku ya kuangalia "friends"
na kula junk food nikikaa sebuleni (not dining) as I have the house to myself.

Ningekuwa najua kizungu ningekujibu na ningechukulia advanteji kukutupia 'neno'!
 
Mrembo by Nature mzima wewe? Kesho unashauri tutumie urembo gani tutokelezee? Lol

Hahaha, AshaDii, ujue mimi huwa natumia tu yale mafuta ya maziwa, au karanga mbichi nazitwanga napata mafuta napaka basi, poda yangu ni unga wa muhogo....situmii kitu chochote cha artificial...... Sasa urembo huu vijana wa kileo kweli mnauweza?? nimeshindwa nikushaurije kuhusu urembo wa uso, na mavazi mie huwa navaa yale ya migomba
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa najua kizungu ningekujibu na ningechukulia advanteji kukutupia 'neno'!
Ungenihakikishia unaachana na mchumba wako ningekuchagua wewe kua mpenzi wangu.
 
Wewe nitakuunganishia kwa MziziMkavu naona mambo yenub yanaendana
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana and Kula FIVE Madame Mwali...:A S 41:!:A S 41:
 
Kwa wale ambao wanajifanya "too busy for love"
Mwali I don't think people are "too busy for love", but they aren't ready to straighten it out.

We need to take some few hours out of our so called busy schedules to straight it out.

But so far I'm not ready to straighten it out with Kongosho. Not yet.

But for others, oh yea, why not? Let's straighten it out right now. No need to wait until tomorrow.

And, as usual, I'm the man saying to straighten it out.

 
Last edited by a moderator:
Lolest! Huo upande wa pili wa shillingi... Will be back hahaha! Asante.
he he heeeee, huo upande wa pili wa shilingi ndo umepamba moto........
kwa vile hatujui basi hatuna la kufanya
 
:behindsofa:


 
Last edited by a moderator:
Mi nipo sana tu mbona? Ulinitafuta wapi ukanikosa?
Habari ya Rejao? nae kapotea kabisa, I miss him
Nipo my dia, mambo tu yamekuwa mengi, but huwa nachungulia chungulia humu kila nikipata muda.
I miss you too Mwali!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…