Ha ha ha ha... I like the way ulivyonisoma. Again, indirectly that is what I appear to be. I guess too many logics and liberalism in my head. And to tell you the truth, am conscious and well aware of that pessimism, sababu kawaida nakutana nayo ikitajwa kutokana na reasoning zangu, haswa ninapokuwa na discuss relationship matters. Although the same reasoning when applied to life outside relationship, becomes logical, and usually carries a positive attribute to it. Kwenye entrepreneurship hii wanaiita 'risk averse' na ni muhimu iwe balanced, else you fail to be a true entrepreneur. But am a person of clear conscious, naelewa ni wakati gani nitumie pessimism na wakati gani nisiitumie. You must remember I have mentioned earlier, I can be random in my thoughts, but also like spontaneity. If you think these two characteristics marry with pessimism, I think you have to think again AshaDii. I am talking about myself here, something I hardly do...(again for being too self conscious)...lakini huo ndiyo ukweli wenyewe... Mwonekano huo kwenye maelezo juu wote ni kwa dhamira tarajio (defined aim), si accident!!
Ni kweli lakini huoni kuwa kama lengo ni kumuumiza huyo alo kifuani mwake kuwa lengo limetimia. Hivi unadhani hao vimada hawana wivu ati? Wanao sana ila ndio hivyo bahati mbaya wameishia kuwa the other woman.
Ahsante Ashadii nashukuru pia na nafurahia uwepo wako jamvini, yaani unamwaga manyuki na kutupa mawe ipasavyo, points zako zinasaidia wengi sana, yaani nimesoma thread karribu mara tano ili niweze kupost comment ya nionavo mimi.wakati huu ni wa neema kwenye maisha yangu nautumia ipasavyo na nikipata mapoint kama haya naongezea kwa juu then nasikilizia
Steve dii, maji ukishayavulia nguo lazima uyaoge na ninaamini hata ukikutana na mamba unapigana nae tu ili mradi uvukie upande wa pili, say umeona almas iko upande wa pili wa mto nafikiri utavuka as kwenye mfano wako wa entreprenr nathani kuna kuchukua risk no matter what
Tufafanulie Eiyet kwa faida ya wengiMi binafsi i don't care if s/he love me(kama ningekua na mahusiano) coz najua maana halisi ya upendo(nitafafanua ukitaka)kuhusu wivu sikubaliani kabisa kuwa unahitajika kwenye mapenzi kwani ni moja ya udhaifu wa kijinga(nitafafanua pia ukitaka)all an all love ni maamuzi au ni uhalisia wa yote!Hata sisi kwa maana ya uumbaji ni asili ya upendo!

Mie sinywi Chauro... ila umenipa kiu ya Amarula (sio mbaya once in a while au sio...lol...) tafadhali lete huku... iwe chilled....

Mawasiliano... hujenga na ubomoa, uloongea ni kweli - infact yahitaji kweli kuiongelea kwa urefu saana...

Kwa hisani yako Mkuu... Message delivered.... Pamoja saana...
Ashadii ngoja niongeze kitu personal kidogo, as namjua mwenzangu alivyo na akipenda huwa anagharamia hakuna mfano, sasa hapo nyuma kuna wakati nilijua kabisa ana kimada nje, baada ya maugomvi sana nikaamua kutulia tu kumwangalia, mie nikawa na demand sana , mara nibadilishiwe hiki mara kile , mara nataka hiki mara kile,na kwa vile anajua nina hasira nae hataki hata kuniuliza maswali ananitimizia
nikirudi kwenye thread yako hapo nitakuwa nimeangukia pua kwenye point ile ya material needs au ni sawa kumkwangua mwanaume ambaye ana kimada na wewe bado uko as a wife?hii inalipaga au ni ya kizushi tu
Mi binafsi i don't care if s/he love me(kama ningekua na mahusiano) coz najua maana halisi ya upendo(nitafafanua ukitaka)kuhusu wivu sikubaliani kabisa kuwa unahitajika kwenye mapenzi kwani ni moja ya udhaifu wa kijinga(nitafafanua pia ukitaka)all an all love ni maamuzi au ni uhalisia wa yote!Hata sisi kwa maana ya uumbaji ni asili ya upendo!
Wivu katika Mapenzi ni moja ya aspect muhimu… But hata hivo viwango vya wivu ni muhimu saana kua observed kati ya Wapenzi wahusika… Wivu wa kukithiri katika Mapenzi; from my observation katika jamii, husababisha madhara makubwa kama kufanya kitu wawza jutia… Kuua (Mpenzi ama mwizi wa mpenzi) na hata kujiua mhusika… Mbaya saaana hii…
- Jealousy….
However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)

Steve dii, maji ukishayavulia nguo lazima uyaoge na ninaamini hata ukikutana na mamba unapigana nae tu ili mradi uvukie upande wa pili, say umeona almas iko upande wa pili wa mto nafikiri utavuka as kwenye mfano wako wa entreprenr nathani kuna kuchukua risk no matter what
The only matter of which to be concerned is the type of lady you get… her understanding and intelligence… or best or important of all…. If she is compactible with you in those important areas??? Ambazo ndio nguzo ya relationship…. Iwe sex ama mahusiano ya One on One….
Kuhusu mamba kuwa ndani ya maji na almasi kuwa upande wa pili... (nimependa combo ya mfano wako - so witty! 🙂 )... Hapa napingana nawe. Napingana nawe kwani siwezi ku-risk kupoteza maisha yangu eti tu kwa vile kuna almasi upande wa pili. (matter of fact unaweza usijue hata value yake - halichelewi kuwa lisekeni tu liking'aa!!!) Same goes kwa mambo ya entrepreneurship. This applies a lot in stock markets. For a sensible investor, you can't invest more than what you are prepared to lose. Ukipoteza maisha, au kudhurika kwa kunyofolewa miguu na mamba huku umeifikia hiyo almasi, utafurahia vipi mauzo yake??! Na kwenye business same thing applies. You can't invest into something you know the risks out weighs the reward. Risky investment ina reward kubwa sana...but there must be justification.
Basi, nikatika misingi hiyo hiyo ya kusema maji ukiyavulia nguo ni sharti uyaoge. Kwa mtu mwepesi ambaye anaweza kushindwa kutafakari zaidi, kuambiwa hivyo anaweza akajikuta akiondoa ule wajibu wa kuyachunguza maji kabla ya kuyavulia nguo. Maana mambo madogo madogo hugeuka tabia. And it is at this juncture I reiterate my point about keeping reservations in relations, particularly when such a relationship is at early stage.
Maelezo yako yako based on too much Logic Dii....lol... Naona this is you below....
Courtesy ya Michael Bolton.... ( I wanna know what LOVE is...)
I gotta take a little time
A little time to think things over
I better read between the lines
In case I need it when Im colder
In my life there's been heartache and pain
I don't know if I can face it again
Cant stop now, Ive traveled so far
To change this lonely life
"Task at hand.." 🙂
You still gotta bear in mind that - I retain the randomness and spontaneity where logic is inapplicable and where fails!!! Ahsante kwa wimbo Dii!!! Lol

C'mon Rocky... I don't believe you....lol... You can do better than this....

Ila nimependa the above opinion umetoa.... Kweli haipendezi, sijui ni kwanini mtu arande hata anapata a perfect fit! And thanks for the acknowledgement...
Public appearances
Hataki kabisa wala hata siku moja kuonekana yupo pamoja na wewe . Mkitembea kwa miguu mmoja mbele mmoja nyuma au kutembea ndani ya gari tu toka mlipotoka mpaka muendapo Daima hakuna watu huwaona pamoja.. labda kama wale baki ambao hawawezi wafahamu On top of that kila mkionana ni gurantee s/he needs a shag hakuna intimacy kati yenu zaidi ya sex