Mapenzi ki ukweli kuna watu wana bahati mbaya nayo sana,ukikutana na unayempenda yy anaweza asikupende kihivyo then ukakutana na anayekupenda ww ukawa humpendi kihivyo,MM nilikuwa mmoja wa hiyo hali nishakutana na mabinti kadhaa nikajikuta napenda kupita maelezo na nahudumia hakuna mfano mwisho wa siku nakuta nasalitiwa au nakuja kugundua huyu nilienae hana mapenzi ya kweli kwangu,Mungu si athumani ktk mazingira ambayo sikuyategemea nikakutana na binti mmoja tukafall in love nikapata penzi ambalo sijawahi kupata ikabidi niwekeze tu maana niliogopa kupoteza penzi hilo tamu nikatangaza ndoa nashkuru tunaishi kwa upendo na uaminifu mkubwa na mungu ametujaalia mtoto mmoja sasa maisha yanasonga,mambo ya boy friend na girl friend yanaumiza kichwa sana full pressure.USHAURI KWA WASIOOA/OLEWA KAA NA HUYO ULIENAE ZUNGUMZENI MFUNGE NDOA,MAISHA YA NDOA MATAMU SANA KIUKWELI NA KILA MMOJA AWE HURU KWA MWENZIE.
Thanks for useful post AD as usual! Itawasaidia sana wadada ambao wako kwenye searching for serious relationship.
Nimependa zaidi hapo kwenye kumwambia mtu I love you yeye anajibu thanks; inahu. Mimi ndo zangu nikimpigia hubby simu namwambia I love you kupima yuko na nani sikubali hata kidogo jibu la thank you na akinijibu hivyo ntarudia tena aisee.
I don have anything to add here. My dear Ashadii umemaliza kila kitu wala sijui niseme nini hapo.
At least watu walio kwenye mahusiano au ambao wanatarajia kuingia kwenye mawasiliano wangekuwa na haya sidhani kama kungekuwa na huku kukimbia kimbia mara leo yuko kwa huyu kesho yuko kwa yule.
Thank you Ashadii for this
Steve mwanamke akifika, huwa hapendi vurugu tena, kama una mpenzi wako we unaweza jua mwanaume anataka kuendelea mwanamke anagoma kabisa sijui inatokana na nini, na ndio maana kama alivosema klorokwin wanaume wengi wanakuwa na mpango wa kando ili wamalize kiu zao tulizoshindwa kuzimaliza na anakuwa normal kabisaReally??! Is that so? Elezea tafadhali... thanx!
Mapenzi ki ukweli kuna watu wana bahati mbaya nayo sana,ukikutana na unayempenda yy anaweza asikupende kihivyo then ukakutana na anayekupenda ww ukawa humpendi kihivyo,MM nilikuwa mmoja wa hiyo hali nishakutana na mabinti kadhaa nikajikuta napenda kupita maelezo na nahudumia hakuna mfano mwisho wa siku nakuta nasalitiwa au nakuja kugundua huyu nilienae hana mapenzi ya kweli kwangu,Mungu si athumani ktk mazingira ambayo sikuyategemea nikakutana na binti mmoja tukafall in love nikapata penzi ambalo sijawahi kupata ikabidi niwekeze tu maana niliogopa kupoteza penzi hilo tamu nikatangaza ndoa nashkuru tunaishi kwa upendo na uaminifu mkubwa na mungu ametujaalia mtoto mmoja sasa maisha yanasonga,mambo ya boy friend na girl friend yanaumiza kichwa sana full pressure.USHAURI KWA WASIOOA/OLEWA KAA NA HUYO ULIENAE ZUNGUMZENI MFUNGE NDOA,MAISHA YA NDOA MATAMU SANA KIUKWELI NA KILA MMOJA AWE HURU KWA MWENZIE.
Mkuu, Hii kitu ndiyo inayofanya watu wabakie masela. Inatokea sana sana tu... sometime wala siyo kwamba mtu anakuwa hakupendi, basi tu, kule kutoweza kustahimili majaribu ya kibinadamu. Na wengine just being out of curiosity. Tumeyasikia ya akina Tiger Woods, Ashley Cole, akina J-Lo, akina David Bekham, etc, etc... Ni kwamba pengine mtu anaweza akawa anakupenda kabisa kabisa, but kutokana na ujana or just curiosity, mtu anaamua kutembea na mwingine. Nakumbuka ile thread ya demu hapa JF aliyetaja anataka kutembea na mzungu, just to explore the world of mahaba. Si kwamba hakumpenda jamaa yake but an inbuilt curiosity drove her to dig further into her gratifications.
In addition to that, kuna wengine hao ambao hawawezi kusema NO. True, am not kidding, wapo! I'll give you a story (sorry but i won't go deep to reveal ID)... kuna demu mmoja tukiwa secondary, basi huyo alikuwa kila mwanamme anayemtongoza anashindwa kujizuia... unless huyo jamaa awe extremely weird! She couldn't simply say NO for an answer. Of course, she could have been or stayed with one man and loved him to bits. But, we men sometimes cause all the suffering. We subject and elevate the promiscuity in girls like her. She could have been treated better by a man staying with her, and i believe she couldn't have objected to that. But the first, the second, third, fourth and so forth... all dump her from the reputation she has acquired, but also the fact that she was too easy for them to sleep with her, therefore men become alerted by the fact that, she could easily go with another man while still in relationship with them. And the cycle repeats itself.
On the other hand, an example of the girl above; is that, some are born sluts. i.e. Can't get enuff. The word here is nymphomania. Hawa wanaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wapenzi waoi, but no matter what you do, the'll want to, and indeed, they do need to sleep around with other men to get the satisfaction they need. Sex addict is kinda good and appreciated, but one man ain't enough for them. It's biological, and with a liberal mind cap on my head, I would say, it's no fault of theirs. Let them be! Chakujiuliza; ndiye mpenzi wako?! What do you do...
Hivyo basi, tukumbuke kwamba binadamu wanatofautiana. Na tunapo equate in sex kama last determinant ya mtu kukupenda, somehow, somewhat kuna kuchemsha kupata majibu fasaha ya hiyo love equation. Kwani, inaweza kutokea kabisa kwamba mmoja wenu akawa na abnormality ya sex kama nilivyoitolea mfano hapo juu kwa akina dada. But kwa wanaume nao, jambo hilo hilo laweza kuwa na ukweli. Kuna wanaume wasioweza kujizuia na pale wanapokuwa tempted, lakini pia kuna wanaume ambao wako sexually slow-paced au sex drive yao inahitilafu kutokana na sababu mbalimbali.
Mkuu TatizoMuda, kama jina lako linavyoashiria, tatizo hapa ni muda!!! Maana unaweza ukaharakisha kujitumbukiza kwenye mapenzi jumla jumla na kujikuta unalikwaa lisilokupendeza. You would be left with long lasting scars. Kama hapo juu ulivyotolea mfano, yule uliyempenda yeyey hakukupenda, na yule aliyekupenda nawe hukumpenda. But kwa kujali muda, sometimes mutuality hujitokeza. Yakwamba, hata kama hampendani kihivyo, baada ya muda mrefu kupita, watu mnaamua kuoana, kwani hiyo jaribu-jaribisha mnakuwa mmeshai-work out namna ya kudeal nayo. Na kama nilivyosema, mtu unanunua mgodi mzimamzima baada ya tu-almasi tumoja tumoja kupatikana. Wao wanasema feasibility study! Tatizo ni Muda!!
Siku njema.
Gosh!! This is deep and intense Thank you Steve Dii...
What you have said brings so much sense But hata hivo Dii nimeshuhudia saana mapenzi ya Uongo siku hizi mpaka inasikitisha hata kwa observer peke yake I am thinking if you love Why not give your whole (hata kama hujui kua ndio the right person ama atakae kuja kukuoa/olewa nae ) Should I be scared just because there is a chance of being hurt?? I think Not!
....
...
Yap! AShadii umenisomaee 2semeje? Kwahawa wanaoshindwa kurecover baada ya kutendwa?
Hebu2wa weke ktk fungula wale uliowaelezea ktk fungula wivu tena wivuwenyewe niule unaomtenga ktk ulimwengu wa mapnz. Yani hua haaminitena kama kuna kupendwa. Nakuendelea na uoga wakupenda nahta after some years kupta anaweza kupata mwenza lakini kiukweli hatodum nae kupitia haka kawivu kake.soo ningependa kusema ki2 ki1 mapenz kwakweli nijukwaa huru.na itategemea na mhusika anatarajiogani. Napia ubunifu,kujifunza vtu vipya,na kujenga mazoea,yaani kutoka kwali ulio iznea hadi halinyinge,kuji up grade saana sio issue kwampnz wako. Swala ni kupenda na sikutafuta ustar.
dah!mapenzi kitu cha ajabu sana ngoja ninywe vilager tuwili niyaenzi vizuri
Yote umenena, lakini mtihani mkubwa kwa wanandoa au wapenzi ni Mawasiliano.............
Huu ni mtihani mkubwa sana ambao unasababisha ndoa nyingi au wapenzi kuachana........... Labda nikuombe AshaDii ujipange siku moja utuwekee uzi hapa jamvini kuhusiana na swala hili la mawasiliano kwa wapenzi au wanandoa........ Nawasilisha
AshaDii, the word is reservation. The last paragraph in my last post explains this, so I believe! Usemi wa kuyavulia nguo maji na kuyaoga unautata.... vipi kama unakutana na kaa na akakung'ata kidole, na vipi kama unakutana na leeches, kukuganda mwilini koto... si itakuwa kero na itakubidi utoke mkuku majini huku ukipiga uyowe....
They say, look before you leap... and I'll add wear some protection ili ukianguka usiumie sana. And this is the reservation I'm talking about, or gaps as per erly explanation.
....
....
Ila tu Dii nimesoma you are so persmistic bana… And can't understand why with all this knowledge in your brain.... Having scars sometimes it is good,it makes you appreciate what is great huko mbeleni kama Tatizomda alivo confess hapo page ya nyuma….
At the moment, ndio kabisa i do fee loved, mie katika mahusiano yangu naachaga wakati mwingine vitu vijiendeshe maana ni kweli kabisa ashadii hayo uliyoyaeleza yapo na haiwezekani mwanaume mmoja kuwa nayo yoote, tunachukuliana tu na maisha yanasonga mbele, mie nafurahia sana hizo special romantic moments anavozipanga kwa kweli hunipa bichwa sana na kusahau yooote yaliyowahi kutokea na kuniumiza sana
Hiyo man's perspective ya klorokwini ni kweli kabisa, mwanamke hawezi kuwa na mahusiano then aka perform the same kwa mumewe tumeumbwa hivo, ila wenzetu wanajitahidi kuwa sawasawa, unaweza ambiwa mumeo ana kimada ukakataa kabisa, but ni ukweli kabisa,japo ni ngumu kumeza ndivo ilivo,ila pia kuna wanawake wachache nao wamejaliwa kuweza kuhimili mikiki ya aina hiyo
Mawasiliano nayo ni issue ingine ambayo usipoitumia vema unaweza ishia pabaya, watu siku hizi wanashindwa hata kuwasiliana wakati wanafanya mapenzi, yaani kibubu bubu, mwanamke hajaridhika hasemi,mwanaume hata haulizi kama mwenzake karidhika, au anapenda afanyiwe nini, nafikiri hii nayo hubomoa sana pale mmoja anapopata mwanya wa kuchomoka na kukuta mtu anaejali sana aridhike
Ahsante sana best kwa thread tamu
NK...kuna watu ni soo unampigia simu unasema ilove u na yeye anasema i love u too baby kumbe yuko juu ya kifua cha mwanamke mwingine,yaani sio guaranteee kabisa kwamba hayupo na mwanamke mwingine
Ahsante Ashadii nashukuru pia na nafurahia uwepo wako jamvini, yaani unamwaga manyuki na kutupa mawe ipasavyo, points zako zinasaidia wengi sana, yaani nimesoma thread karribu mara tano ili niweze kupost comment ya nionavo mimi.wakati huu ni wa neema kwenye maisha yangu nautumia ipasavyo na nikipata mapoint kama haya naongezea kwa juu then nasikiliziaGaga what I admire about you and you marriage (thou via jamvini) ni kwamba you are real na huna pretense Hauna unafiki na kutumia jamvi ipasavo for mostly nobody Knows you, thus in other words ilitakiwa that nobody should give a damn However that is not possible for hii ndio inafanya wenye interest tuafuatilie what you have to say about your marriage (esp mimi) .
Hivo hii post umetuma najua kua itakua ni kweli for ukiwa na problems you say it kukiwa na a rut you say it nd kama kuna furaha you say it pia You make yourself be the kind of person to believe NDOA ni kazi saana na sio siku zoote kua itakua safe haven lazima kuna ups and downs kama ulivoongea But knowing kua ndoa is worth it NO MATTER WHAT!! Kwa wahusika watambuzi (hasa Mke) ndo hufanya ndoa yako iwe intact hata tetemeko liwe kubwa namna gani ..
Naona umeona jinsi Lawyer Klorokwin alivomwaga points kibao pamoja na hio ya muhimu ya SEX Ametoa insight I am proud of Na pia naona pia nawe umekumbushia umuhimu wa Speacial Romantic Moments... (in fact nikiona neno SRM inanifanya nikumbuke zingine kibao nikiwa na Mpenzi wangu; na kumshukuru Mungu, kunipa bahati ya ku exprience such PLEASURE!!)
Gaga Dear asante for acknowledging . Nimefurahi kwa kweli na inanipa moyo wa kuzidi toa yale nilonayo .