hii inaweza kuwa na ukweli kwa baadhi ya wanawake.
ila kweli jamani, kuna raha fulan ambayo mama huipata hasa pale baada ya kichwa cha mtoto kupita, kisha akajigeuza akaanza kutoa bega moja nje huteleza halafu hutekenya na kuleta raha utafikir uko kwenye kilele cha kibo.
uchungu wa mtoto hasa huwa kwenye first stage, inapokuja second stage kuna raha na uchungu kidogo.