Pamoja na kuandika kwa Kiingereza chako dhaifu lakini haujafanikiwa kuuziba ujinga wako usionekane. Umeandika ujinga ujinga mwingi sana. Andika Kiswahili tu.
Uhuru wa vyombo vya habari hajauwahi kuwa tatizo mahali popote duniani.
Uhuru wa vyombo vya habari unaleta tatizo pale tu ambapo MAOVU yanafichuliwa. UFISADI, RUSHWA, MAUAJI, UVUNJIFU WA KATIBA, UDIKTETA, NA UPUMBAVU WA VIONGOZI.
Hayo yote yakishafichuliwa na vyombo huru vya habari, ndipo watu wanajaa chuki kubwa dhidi ya viongozi, na ndipo hapo hapo viongozi nao wanatafuta namna ya kuvidhibiti hivi vyombo vya habari kwa kisingizio kuwa eti UHURU UMEZIDI.
Kama unatenda na kuongoza kwa haki, HAUNA HAJA YA KUOGOPA VYOMBO VYA HABARI, kwasababu hakuna uovu wowote unaouhofia kufichuliwa.
FIKIRI UPYA ACHANA NA HAYA MAPUMBA PUMBA UNAYOANDIKA HAPA!
UMEKUNYWA CHAI LEO?