Do u get the meaning.....!!!

Do u get the meaning.....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG_20170715_194112.png


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jamaa anamuombe Marehemu kuwa akalale Mahala pema peponi, Peponi kuna Watu wanakula bata haswa the same time!
 
Jamaa anamuombe Marehemu kuwa akalale Mahala pema peponi, Peponi kuna Watu wanakula bata haswa the same time!

Sio watu wanakula Bata, huyo jamaa wa katikati ya hao wenye Mikia ndio Marehemu mwenyewe keshatoka kwenye Cofin lake na yupo kuzimu na Mashetani, so huyo mama anamuombea alale pema , kumbe jamaa anajirusha motoni
 
Praying for someone who's the follow member of lucifer lord.
 
Mh hiz ni picha za dhihaka Kwa wanaomini uwepo Wa adhabu baadab. ya maovu ya duniani hapo inaonesha watu wanaendelea kula gud time hata baada ya kufa na shetan ndio mtawala Wa kizim na hakuna Wa kuingilia mamlaka yake

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yuko kati kati ya mashetani kwenye tanulu la moto huku duniani akiombewa alale mahali pema pepon
 
Mmmh! Anakula bata na majini ya kike!

Sent from Nokia tochi
 
Meanz acha wafu waendelee na habari zao..... Tuonavyo macho ya kawaid sivyo ilivyo rohoni

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Kizuri ni kwamba hakuna wanasayansi waliowahi kutuma walau chombo kuchunguza maisha yaliyopo kifoni!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom