ha ha aha huyu ni mshana jr
Unajua uache uchizi wewe miss chagga! Ole wako kesho nikufume maeneo yako nakupiga na kreti la viroba mix
ha hha ha ha uwezi nipata ... au atakaye muwahi mwenzie ampige viroba hatare:A S wink:
Kisim! Changu kinasoma location ujue...!! Basi nitasubiri uniwahi...haimaanishi ubahili wala upare tafadhali
amna shida changu kinashika mbali mda wote kimesimama kinasearch network
Hahahahaaaaaaa hahahaaaaaa wallah nimeonekana mwehu hapa nilipo mpaka kuna mhudumu karopoka anasema 'eti yule MBABA anacheka pekeyake' halafu ni mchagga ...!!!
unapata moja baridi moja moto ?
Kisim! Changu kinasoma location ujue...!! Basi nitasubiri uniwahi...haimaanishi ubahili wala upare tafadhali
amna shida changu kinashika mbali mda wote kimesimama kinasearch network
Hapana nimeacha kabisa siku hizi labda itokee tuu
Hapana nimeacha kabisa siku hizi labda itokee tuu
Acheni uchizi ninyi watu..
mke mwenza mambo