Do men fake too?

Wananume kama unajisikia umechoka. na ukiingia mchezoni unakua kama ndo unamchokoza mwenzio, si bora upospond for the next night? au inakua ngumu?

Kwani malavidavi ni mpaka night jamani? Hata mchana au uchovu ukishatoweka!! Lo!!
 
Not possible at all! Ejaculation signifies men's climax!! The lady can prove it by checking and finding some mg of first class protein in her cup!!!

Mwanamayu? I think you made a siginificant point here!

We all have to define ... the fake we are talking here!.... For men Climax means ejaculation!!! Period!!! and a sensitive woman knows when that has taken place or not!.... but Girls you can correct me here!!! Dont you know...I men you are not aware when the ejaculation has tken place in you? If the answer is yes then ... faking can not take place.... If You cant detemine when the ejaculation has taken place ... basi mnafaa sana kudanganyika tu!!! Nina maana tusimamie kuwa ejaculation na sio shamra shamra nyingine ..ndio climax kwa mwanume..!
 
Mbona hamjibu mnaguna tu:smile-big:

FL1 hawa watu nimeamini ni wasiri. kikwetu tunasema wamekula Yamini.
Naomba tu niwaambie kuwa ukweli ndio huo. Msiwe kwenye vijiwe mnapeana sifa. ohh! nilimkomoa yule ohh! sijui nini, poleni sana, Habari ndio hiyo
 
FL1 hawa watu nimeamini ni wasiri. kikwetu tunasema wamekula Yamini.
Naomba tu niwaambie kuwa ukweli ndio huo. Msiwe kwenye vijiwe mnapeana sifa. ohh! nilimkomoa yule ohh! sijui nini, poleni sana, Habari ndio hiyo
........sio kuwa ni wasiri na hatujala yamini, tumefundishwa kutotoa siri za vyumbani kwetu!
 
Binafsi kama sijiskii siwezi kujilazimisha, labda asisitize. Ngoma pale wote mnapojiskia, kisha yeye akawahi kufika na ham yake ikakatika wakati mimi mtarimbo ndy kwaanza umechachamaa mpk unatetemeka! kuendelea "kumfanya" mwenzio wakati hajiskii ni kumuumiza tu, na kukatisha ghafla ni kumuumiza kisaikolojia pia (anawaza hajakuridhisha!) Hapo dawa ni kufeki na kumalizia kwa jeli.

Amoeba, yaani huyo mdada labda kama itakuwa ni siku yake ya kwanza. Inamaana hajui kama umefika inakuwaje? yaani utoe ikiwa bado imechachamaa na aamini kwamba amekuridhisha?
 
Fake it, (tell her that you are faking for her) if that is what it takes to make your lover happy. and have fun doing it. yeah, it is free anyway and Its halal (kosher). yeah, I think its a good Karma.
But, do not fake LOVE. It would back fire. If ladies admit in faking to maximize our pleasure, why not be gentle, sentimental and returns a little favor. Actually, I think its an art of some sorts, understanding inbed attiquates while performing your duty, gentleman.

Waambie watoto wakalale kwanza. hizi post zingine naona zinaweze kuaribu macho ya watoto.
 
This situation can happen to any man but it is very rare,e.g on my side in the 6876 games it happened only once.So even men can fake too but in very,very rare occasions
 
Brada nilisahau! hii rangi hata mimi inanipa kichechefu. Simaanishi kwenye mpira namaanisha kwenye siasa
hapo umenena. Sidhani kama kufanya kila siku ni nzuri. mnaweza pumzika hata wiki au mbili. ila tatizo linakuja kwenye uaminifu. unaweza fikiri mwenzio kapumzika kama wewe kumbe unaibiwa.


duh! hap umeongea VIVI! Then it pains alot ukijua! BUT for me she is always come first b4 me n she askin for excuse!!!
 
FL1 hawa watu nimeamini ni wasiri. kikwetu tunasema wamekula Yamini.
Naomba tu niwaambie kuwa ukweli ndio huo. Msiwe kwenye vijiwe mnapeana sifa. ohh! nilimkomoa yule ohh! sijui nini, poleni sana, Habari ndio hiyo

Unajidanganya dada kwa kufikiri hivyo unavyofikiri. Nasi men tunajua fika kuwa nyie huwa mnajifanyisha na ndo maana huwa tunawakandamiza ipasavyo tena bila kujali kilio chenu. Nyie wakati mkilia sie huwa tunapata burudani murua.
Sie huwa hatu-cheat, tukifika kileleni tunafika kikwelikweli.
Kwa taarifa yako mtu ka mie wee huwezi kuni-cheat ukifika najua na usipofika vilevile ntajua, aidha uwe unalia au usilie. Ukibisha jaribu uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom