Do alliens exist?

Kwenye movie za kikorea wapo wengi mno.Ukianza na yule jamaa wa kwenye my love from another star.
 
Hakuna kitu kama hicho ile ilikuwa ni michezo ya mmarekani na mrusi... Wee hushangai hakuna allien hata mmoja aliyewahi kutua Afrika?
 

Mkuu mimi nayaomba hayo mengi maana kuna vitu ninataka kuvijua na vinanichanganya sana lkn sijawahi kupata mtu wa kunielewesha kwa undani zaidi.
Kwa ufupi ninamaswali mengi mno!!
 
Mpaka hivi sasa kuna makundi mawili yanayabishana kuhusu dunia kuwa globe, na wengine kuwa dunia ni flat ikiwa imefunikwa na mfuniko wa kioo( dome). Vyovyote vile, kama unaamini dunia Iko flat kama disc, basi ujue kuwa dunia ina North pole iliyo katikati ya tundu lililo upande wa juu, Lakini upande wa chini hakuna South pole. Bali kuna Bara (Continent) kubwa sana liitwalo Antartica. Sehemu hii hairuhusiwi kupitisha ndege . Sehemu hii, imefunikwa na ukuta mrefu wa barafu ambao umezunguka eneo lote kuzunguka dunia ( unaweza kwenda Antartica kutoka Argentina, South Africa, Ausralia, na New zealand. Hakuna usafiri wa ndege wa moja kwa moja kutoka South Africa kwenda Australia kupitia Antartica. Hebu jiulize ni kwa nini?. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 370 iliyopotea baada ya kubadili mwelekeo na kuelekea kusini. Yawezekana ilielekea Antartica ambako kuna bases nyingi za Aliens pamoja na waNAZI.
 
Akili za kuambiwa usituambukize na sisi
Nataka uniambie kitu kimoja tuuu..amabcho katika imani yako hujaambiwa na kuaminishwa ila umekiona kwa macho.
Usiogope usicho kifahamu mkuu.
Kwa imaninyangu biblia inasema hamna kipya chini ya jua....
 
Hawapo! Ni fake, fake tena fake. Fact ni kwmba, Marekani basically ndo wanatumia mabilioni ya pesa kuudanganya umma kuhusu uwepo wa hawa Alliens ili wao wapange 'uvamizi' katika dunia ili kuutisha ulimwengu kuwa ni "Allien invasion". Lengo likiwa ni kwamba dunia iungane katika nyanja zote, dini, kijeshi, kifedha, n.k
Chunguzeni kwa makini, popote pale tafuta informations. Kumbuka ukijua endelea kuvumbua infact never stop learning.
Therefore, alliens dont exist.
 
Ile ndege wanayo CIA na US millitary, ipo kisiwa cha Diego Garcia! pengine walishaibadilisha hata jina tayari wale wapuuzi.
 
Na wanasema one of the pair coordinates za Pyramid of Giza figures zake zinaendana exactly na figures za speed of light.
 
Yes....Sabaya, Lema, Lissu, Makonda, Zitto, Maria Sarungi, IGP Omari Mahita. Hawa ni baadhi tu ila tunao wengi wanaishi nasi.
 
Nadharia hizo,wanazitengeneza Wazungu ili tuwaone Unique Pumbavu hawa.Its truth that hatuko wenyewe ila kwa Alliens tumepigwa Kama walivyopigwagwa tu wale Masoja wa Majimaji war in that error
 
Kitu p
Wazungu ni wajanja sana mambo mengi wanaonyeshwa na lusifa, wakifanikiwa kuya tenda wana singizia niviumbe vinavyo itwa Alliens
Kitu pekee ambacho Afrika tunakikosa ni kuacha asili zetu na kufuata tusiyoyajua. Kama vile tulivyo leo hatuelewi sisi ni wajamaa ama wabepari. Ndivyo ilivyo upande wa asili yetu hatujui tuko wapi? tumefauata kitu tusichokijua.

Tumeaminishwa kwenda makaburini kuomba na kuongea na mizimu ni dhambi lakini hao waliotuaminisha wao wanafanya ivyo mpaka kesho, walikuja Afrika wakachukua vyetu wakapeleka kwao kisha wakatuletea tusivyovijua na tukavipokea. Ili kutufanya wajinga kabisa wakafuta elimu yetu wakaleta elimu yao ya darasani ya kutufanya tuwe wafanyakazi na sio wavumbuzi.

Kwanini maAskofu wanzikwa kanisani? Ukijiuliza ilo swali na kujipa muda kutafakari na kisha kwann sisi tuambiwe kusali makaburi na kuomba ni dhambi? Nisiende ndnai sana katika hili ila inatakiwa TUjitafakari sana
 
Point no 8 hakika inafikirisha sana. Kuna mambo mengi tena makubwa tusiyoyajua kuhusu maisha ya viumbe mpaka tulipofika leo hii. Na huenda yapo yanayoendelea ambayo hatuyaoni na hatuyajui
 
Aisee!
 
Ndiyo wapo kina Mshana Jr MziziMkavu Pure_sapiens Umuzukuru Aunt Cash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…