DNA ya kimila

Nimewahi kufika India, nikivyokwakuta wamalala kwenye makalabati na mitaroni kwa ukosefu wa nyumba +maisha magumu. Nashangaa hawa wa Upanga wanavyojidai maisha ya juu. Kuna siku nikimchana moja na kumwonesha ndugu zake wanavyolala kwenye mitaro ya madaraja siku hizi heshima mbele.
Hiyo ndiyo dawa kuwaumbua hadharan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mila za kisomi hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu Mimi nikaja na suluhisho langu la kiselemani. Kama nina wasiwasi basi ntamuita mama wa mtoto na kumueleza kuwa Nina wasiwasi kuwa mtoto huyu sio wangu. Hivyo nitamgusisha dudu yangu usoni. Akiamka basi ni wangu ila kama sio wangu hataamka na atakufa. Hapo mama lazima aseme ukweli kwa sababu yale machungu ya kuleta mtoto duniani bado atakuwa nayo. Kama si wangu na bado mama anaridhia nifanye hivyo napo nitajua tu..
 
Nimewahi kufika India, nikivyokwakuta wamalala kwenye makalabati na mitaroni kwa ukosefu wa nyumba +maisha magumu. Nashangaa hawa wa Upanga wanavyojidai maisha ya juu. Kuna siku nikimchana moja na kumwonesha ndugu zake wanavyolala kwenye mitaro ya madaraja siku hizi heshima mbele.
Hahahaha hakuna walicho tuzidi hao kanjibahi labla uchafu maana India ni chafuuu jumlisha umaskini.
 
Wachaga acheni uchawi wa kishamba hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawashwa na wachaga sii bure,kuna tofauti Kati ya mila na uchawi
Hakuna kabila lisilo na mila dunian
Wachaga Ni watu bright ktk maendeleo ndio maana kilimanjaro unaoongoza kila idara sii elimu,sii biashara,sii maendeleo
Wewe endelea kucheza baikoko hapo ikwiriri wachaga sio level Yako kilaza wahedi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mkuu Mimi nikaja na suluhisho langu la kiselemani. Kama nina wasiwasi basi ntamuita mama wa mtoto na kumueleza kuwa Nina wasiwasi kuwa mtoto huyu sio wangu. Hivyo nitamgusisha dudu yangu usoni. Akiamka basi ni wangu ila kama sio wangu hataamka na atakufa. Hapo mama lazima aseme ukweli kwa sababu yale machungu ya kuleta mtoto duniani bado atakuwa nayo. Kama si wangu na bado mama anaridhia nifanye hivyo napo nitajua tu..
Yaap ndio maana tunasema wachaga ni watu bright kama waisraeli
Hii Mila ni ya kisomi mno si unajua uchagani hadi watawala wa jadi walikuwa na masters degree? Refer mangi mareale,shaghali,nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom